Hivi Rais atawezaje kuwa na ushawishi katika bunge ikiwa ikiwa masuala yanayohitaji 2/3 hayatafanikiwa kwa kukosa hiyo 2/3?
Tusemezane
Hapana mkuu, unakumbuka suala la katiba?2/3 ya maamuzi ya Bunge haitokani na idadi ya wabunge wa vyama, inatokana na idadi ya wabunge walioshawishika na hoja husika. Ukiona hoja inashindwa kushawishi 2/3 ya wabunge basi hoja hiyo haina maslahi kwa taifa. Ndio maana tunataka Bunge mseto, ili hoja zisipitishwe kwa itikadi za vyama bali kwa maslahi ya taifa.
Mkuu hoja ngapi zimepingwa na wabunge wa vyama kama CCM na wakaitwa katika vikao?2/3 ya maamuzi ya Bunge haitokani na idadi ya wabunge wa vyama, inatokana na idadi ya wabunge walioshawishika na hoja husika. Ukiona hoja inashindwa kushawishi 2/3 ya wabunge basi hoja hiyo haina maslahi kwa taifa. Ndio maana tunataka Bunge mseto, ili hoja zisipitishwe kwa itikadi za vyama bali kwa maslahi ya taifa.
Mkuu hoja ngapi zimepingwa na wabunge wa vyama kama CCM na wakaitwa katika vikao?
Utamaduni wa masuala ya kitaifa haupo, kilichopo ni ubabe na mwenye nguvu au kikundi chenye nguvu ndani au nje ya bunge kinaamua masuala yote ya kitaifa, tutake tusitake. Hakuna kuangalia uzuri au ubaya wa hoja
Hakuna suala la masilahi katika ubabe. Wenzetu wanachanja mbuga sisi tumechuchumaa!
Na kwa mwendo huu tunaona na reja reja inayoendelea, tuna safari ndefu sana
Hapo ndipo naona ugumu maana kuna bad precedent tayari katika maamuzi ya mambo ya kitaifa. Unakumbuka miswaada iliyopitishwa kibabe mwishoni mwa bunge kwa kutumia slogan ya majority hata bila kuwa na faida kwa taifaThat is when the party has overwhelming majority. When it needs other parties to pass the decisions it MUST learn to compromise.
It can't be easy though. I remember in US they had to shut down the government just because Republicans and Democrats couldn't agree in the house.
Hapana mkuu, unakumbuka suala la katiba?
Kwa utaratibu wetu wa bunge, masuala hayaumuliwi kitaifa bali kichama.
Narudia tena, unakumbuka suala la kitaifa la katiba? Je, haikuwa 2/3 iliyoahirisha mchakato?
Hoja hapa ni kuwa zipo kanuni za wingi (majority) ambayo ni ile ya 'Ndiyoo' na yapo masuala yanayohitaji 2/3
Haya huamuliwa ka utaratibu uliowekwa na CCM wa kichama kama ilivyokuwa katiba.
Hivyo Rais akikosa 2/3 ya upande mmoja au 2/3 kama ya bunge la katiba atafanyaje kazi?
Mkuu huwezi kubadili mawazo ya kichama, hakuna suala kubwa kama katiba, je tulilafanya kama taifa?
2/3 haikutoka. Sioni kama tunaweza kubadili hali iliyopo na inavyoonekana sasa itakuwa ngumu zaidi
Pili, si 2/3 tu, kuna mambo yanayohitaji kuridhiwa na pande zote za muungano.
Kwa hali ilivyo sasa Rais wa awamu ya tano ana wakati mgumu sana
Suala la katiba iliyokuwa kiporo linazidi kuwa gumu sana kwa Rais ajaye.
Hii ni kwasababu hatuna utaratibu wa masuala ya kitaifa bali kuwa loyal na vyama vya siasa.
Katiba kiporo inaonekana kufikia tamati, kitakachonusuru taifa ni muafaka
Nguruvi3 habari za asbh brodah!
Binafsi nadahan kwa katiba kutokuwa na kipengele kinachoo nyesha ikiwa rais atakosa idadi tosha ya wabunge watakao tengeneza serikal yake basi iundwe serikal ya mseto ndiyo inayopelekea mabao ya mkono tunayoyaona leo hii.
Iddi Azann kailazimisha tume ihesabu kura zake just like kama Hassanal alivyotaka huko Ilala. ona sasa za Iddi zilipohesabiwa eti zilitoshea kumpa ushindi na eti za Hassanal haziwez kuhesabwa mara ya pili.
Nape kafanyaje huko kwao yeye na mwakyembe?
Hivi unaweza kuamin Davidi Kafulila kashindwa ubunge? jaman inamaana wapiga kura awake hawakumkubali licha ya kufufua swalala escrow?
CCM imejitahd sana kuhakikisha bado inashinda kwa idadi kubwa ya wabunge na kukwepa kuja kuunda serikal ya mseto. hapo ndipo Nape anapofungwa na maneno yake mwenyewe
Nguruvi3 za siku njema sana ila tu hali ya siasa ya nchi ndo inayoumiya kichwa.
twende kwenye hoja za msingi, huko Zanzibar hivi ZEC ni ya CCM tu ama?
kimsingi ingekuwa CCM ndo imeshinda wala wasingesema haya ila kwakua wanajua CCM haitak kuachia dola ndio mana wanayasema haya. mimini miongoni mwa watu waliopewa namba mara mbili kwenye daftari la wapiga kura na hivyo daftari la kupigia kura likaja na jina la mtu mmoja mara mbili na kuwa na namba mbili tofauti.
nilichojiuliza ni je hili jina jingine nani atakayelipigia kura? ikiwa kwamba nataakiwa kupiga kura moja tu? sasa ?linapokuja swala eti daftari lilikuwa na majina mengi kuliko waliojiandikisha je waliona hilo siku ya uchaguzi tu? huwaga hawana nafasi ya kuproof read kabla?
nakubaliana na wewe kwamba kama nchi tumefeli.............tusubiri kuchekwa na akuzomewa na wenzetu