Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
1.Mimba zipunguzwe miezi,badala ya miezi 9 iwe 4.
2.Nauli ya kwenda south Africa iwe bure coz ni mteremko.
3.Sukuma wiki ichunguzwe why haiwezi kusukuma mwezi au mwaka.
4.Siku za mwizi ziwe walau 90 sababu uchumi umekua mgumu.
5.Viroba vishushwe bei angalau viuzwe 100/.
6.Chumvi iuzwe bei ya sukari na sukari iuzwe bei ya chumvi.
7.Pombe ijazwe chupa!!!...Hii tabia ya kuacha nafasi kidogo ni kutuibia....
8.Donati zisiwe na shimo katikati...la kazi gani?
9.Vocha ya buku iuzwe mia tisa tupate mia ya kukwangulia!
10.Tujenge vibanda vya chips bata,tumechoka kuku.
HERI YA CHRISTMAS JF MEMBERS.