2015 Options: Migiro vs Zitto

Kwa Migiro kilichompa nafasi ya kuweza kusema kuwa anakubalika kwa wengi ni ile nafasi ya UN ambayo hata hivyo hakuweza kuitumia vema, kumwezesha japo kutupa karata ya kugombea uprezi. Mpaka wakati huu yeye binafsi hana ndoto ya kuwa prez, sana sana ndio hizo ngoma ndogondogo zinazopigwa.

Hii ni tofauti sana kwa Zitto, kwani yeye tayali ameshaweka nia na anaendelea kujipanga kupata nafasi hiyo. Tatizo lake ni kuwa wazi zaidi, kiasi cha kuwachefua wengi, wenye kuendekeza siasa za kihistoria.

Kuhusu kuonekana kuungwa mkono na baadhi ya wanaCCM hakujaja hivihivi. Ikumbukwe kuwa Zitto amekuwa akifuatilia sana siasa za Salim A. Salim na kuzifanyia kazi. Hii ni pamoja na yeye mwenyewe kujiweka karibu na SAS ili kukuza utashi wake wa kisiasa.

Hivyo basi, Migiro akisimama na Zitto, hapana shaka huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kutawala nchi hii!
 
Kwa Migiro kilichompa nafasi ya kuweza kusema kuwa anakubalika kwa wengi ni ile nafasi ya UN ambayo hata hivyo hakuweza kuitumia vema, kumwezesha japo kutupa karata ya kugombea uprezi. Mpaka wakati huu yeye binafsi hana ndoto ya kuwa prez, sana sana ndio hizo ngoma ndogondogo zinazopigwa.

Hii ni tofauti sana kwa Zitto, kwani yeye tayali ameshaweka nia na anaendelea kujipanga kupata nafasi hiyo. Tatizo lake ni kuwa wazi zaidi, kiasi cha kuwachefua wengi, wenye kuendekeza siasa za kihistoria.

Kuhusu kuonekana kuungwa mkono na baadhi ya wanaCCM hakujaja hivihivi. Ikumbukwe kuwa Zitto amekuwa akifuatilia sana siasa za Salim A. Salim na kuzifanyia kazi. Hii ni pamoja na yeye mwenyewe kujiweka karibu na SAS ili kukuza utashi wake wa kisiasa.

Hivyo basi, Migori akisimama na Zitto, hapana shaka huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kutawala nchi hii!
Kibunango,

..nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UN ni sisi wa-Tanzania ndiyo tunaikweza.

..Naibu Katibu Mkuu wa UN anateuliwa na kuondolewa kwa utashi wa Katibu Mkuu wa UN.

..Zaidi, Naibu Katibu Mkuu anatekeleza ajenda aliyozotumwa na bosi wake Katibu Mkuu wa UN.

..Haiwezekani hata siku moja Naibu Katibu Mkuu akajipambanua yeye binafsi kumzidi Katibu Mkuu wake.

..kwa msingi huo siyo rahisi kupima utendaji wa Naibu Katibu Mkuu UN na kusema huyu amefanikiwa au hakufanikiwa.

..Wakurugenzi wa mashirika ya UN kama UNDP,UNICEF,UN-Habitat, wana hadhi kubwa zaidi ktk medani ya kimataifa kuliko Deputy UN Sec Gen. Kama utakumbuka Prof.Tibaijuka alikuwepo kwenye jopo la viongozi wa Afrika lililomshirikisha Raisi Mkapa, pamoja na Waziri Mkuu Meles Zenawi.

..Binafsi siwajui kwa majina manaibu katibu mkuu wa UN waliopita na hata aliyepo sasa hivi. nina hakika kuna wachangiaji wengi pia hawawafahamu. the reason ni kwamba hawa siyo watu muhimu sana huko UN au hata ktk medani za kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu JokaKuu,
Yaani kufikiria kwako Ma Rais ndo umeishia hapo???
Umenisikitisha sana Mkuu
Mkusa,

..I am just going with the flow!!

..hakuna mahali nimesema hao ndiyo chaguo langu.

..nilichofanya mimi ni ku-acknowledge harakati za wapambe wa Dr.Migiro na wale wa Zitto Kabwe.
 
Last edited by a moderator:
mbegu yoyote toka ccm ni sumu, zito bd mtoto sana! Huyo mama migiro hafai hata kuwa waziri! Wa tz nadhani bd mnataka kuwa masikini kwa kuendelea kuchagua ccm. Kataeni utumwa huu hamuelewi tuu? Fungukeni macho angalieni kenya mambo yanakwend safi. Katiba mpya haitapatikana chini ya ccm wala tume huru. Hatutaki kuona teuzi za kishkaji, upolaji wa ardhi na maliasiri zetu! Mwee kweli wa tz wamelogwa
 
Kibunango,

..inaelekea wewe unaamini kwamba Zitto atamshinda Migiro.

..hebu tufafanulie kwa hoja kwanini unaamini hivyo.

..mimi nimekueleza kwamba Zitto anaendesha siasa kama zile za wana CCM.

..he is not drawing a clear line to differentiate himself frm wana CCM.

..kuhusu Zitto kujaribu kuwa "Salim Ahmed Salim wa Chadema" hilo halina ubishi.

..sasa ukimsimashi Migiro vs Zitto ni sawa na kuwa na uchaguzi kati ya mwana CCM kindakindaki vs mwana CCM kibaraka.

NB:

..kuna factor ya kura za WANAWAKE.
 
binafc nitamchagua dr migiro akigombea na zito ila akisimama dr migiro na dr slaa nitamchagua slaa jembe la ukwel
 
Back
Top Bottom