Kichwa cha habari kinasema tuipigie kura CCM lakini ndani ya maelezo yake anasema tuipigie CDM dah! kweli watu tumedata sasa.
CDM ikitaka kushinda 2015 wa concentrate kwenye yale maeneo ambayo ni full CCM, wakiweza kufanya wananchi wakabadilisha mawazo then they r out.
Wakati Obama anafanya kampeni hakua anazunguka kwenye maeneo ambayo anajua yatachagua Democrats bali alikua anapiga kampeni za nguvu kwenye maeneo ambayo ni full Republicans na aliweza kubadilisha mawazo ya watu.
Ndo maana nasema wao kua Arusha or Moshi hakusaidii maana hiyo mikoa ni ya CHADEMA no doubt so waweke efforts zao kwenye maeneo ambayo ni full CCM na wajaribu kubadilisha mawazo na fikra za wananchi wa huko now that's their greatest challenge.