2015 CCM mlete wanajeshi Mtwara wawapigie kura

2015 CCM mlete wanajeshi Mtwara wawapigie kura

Mkuu umetoka lini kinosho umekwenda mtwara toka haraka rudi kwenu usije kutia nuksi mikoa ya watu hawajazoea hayo unayosema rudi nayo kwenu.

Msemo Tanzania ni nchi ya amani, je una maana gani?
 
Magamba kusini yanapumulia mashine (dola) hata wenyewe wanafahamu hili tena bila chenga! Siku wakinyofoa tu hii mashine kush'neh,Ndo maana hawataki kuinyofoa.Kwa akili yao wanafikiri watapata nafuu kumbe wanasogeza muda wa kuzikwa tu mbele,Vichwa vinawagonga muda wa uchaguzi wa serikali za mitaa ushawasili na shughuli za kisiasa ni lazima zianze kufanyika maeneo yale! Ndo maana wanajisingizia hawana pesa ni UHONGO dhaifu sana huu! Kimya hii magamba na washirika wao wanatuma wanachama na washirika wao watihifu kwenda kusoma upepo na wanakuta watu bado wamewakazia pande zile! Kitaeleweka tu awamu hii KUSINI Vs MAGAMBA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom