2015 CCM mlete wanajeshi Mtwara wawapigie kura

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
TANZANIA INAONGOZWA KIDIKTETA? Kama Ndio Dikteta ni nani?

Ukituuliza watu wa Mtwara na Lindi jibu ni Ndioooooooooo... Na dicteta ni Shemeji Yetu, yaani Kaka yao wao. Ama kweli wakwe zake hatueshimu.. Dada rudi nyumbani mwache Aishi peke yake. Huku kuna ugali wa muhogo,chamaki nchanga na makopa na vyakula vingi vya asili.

Dada huku ndio kwenu... UDIKTETA WA SHEMEJI.... Shemeji na ndugu zake kwa makusudi wamevunja katiba na kuiongoza mikoa tajwa kiudikiteta kama ifuatavyo.........

1. Katika mikoa hiyo ni marufuku mtu kutoa maoni au kuhoji juu ya rasilimali za Nchi na manufaa yake kwa jamii inayozunguka mfano GECHI, usiseme gesi UTANYEA DEBE. Katiba inaseama wazi kwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni na kuhoji juu ya Raslimali za Nchi.. Vipi shemeji Na Ndugu zako mvunje katiba kwa manufaa yao?

2. Marufuku kuendesha Mikutano ya kisiasa.. Iko wapi Demokrasia TZ. Kama nyie mnafurahia shaghuli za kisiasa Sie twasikiliza Kwenye Vyombo vya Habari tu miaka yakatika hakuna ruhusa hata mkutano wa siasa ngazi ya kitongoji.. Umuhimu wa vyama vingi uko wapi?

Je INTARAHAMWE hawataki kukosolewa juu ya Matendo yao? KIONGOZI WA CHAMA AMEDHALILISHWA KWA HILI.

Kiongozi wa CHADEMA alikwenda kuomba kwa serikali kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ktk mikoa hii... Gazeti moja la serikali Likaandika KIONGOZI MKUBWA WA CHADEMA ASALIM AMRI AIANGUKIA CCM hawa waandishi WAPUMBAVU kwa hiyo mnafurahi Ss kuongozwa Kidkteta? Yeye hakwenda kuiomba
CCM bali serikali... UJUMBE KWA SHEMEJI na NDUGUZE.

Haki ya mtu hapokonyeki bali hucheleweshwa tu. Zungukeni 2015 Msije huku kujifanya Mnapiga Kampeni MARUFUKU
CCM WANANCHI WA LINDI NA MTWARA TUAMKE TWALALA KAMA PONO. Kwa hili tusiwe wapumbavu Muda umefika wa kusema BAI BAI C.C.M wametukandamiza vya Kutosha.

Mkuu umetoka lini kinosho umekwenda mtwara toka haraka rudi kwenu usije kutia nuksi mikoa ya watu hawajazoea hayo unayosema rudi nayo kwenu.
 
Kweli kabisa 2015,ccm mikoa ya Lindi na Mtwara hata msipoteze nguvu zenu kuja huku..Tunihopeera
 
Wengine mnahitaji msaada mkubwa sana wa kitaalamu kwa akili yako na unavyowaza mkuu lazima upate tiba mbadala vinginevyo unakwenda kizani kabisa.
 
Namuomba mungu usife mapema ili uje kushuhudia maajabu yatakayotokea hakuna mtu atakayechagua chama cha kikabila na majizi kama chadema,cuf wenyewe walishajifia kitambo.
 
Mkuu umetoka lini kinosho umekwenda mtwara toka haraka rudi kwenu usije kutia nuksi mikoa ya watu hawajazoea hayo unayosema rudi nayo kwenu.

kinosho ndo wapi , ????mbona hata sipajui. tumejuana wapi kwanza mpk ujue napotokea.
 
Namuomba mungu usife mapema ili uje kushuhudia maajabu yatakayotokea hakuna mtu atakayechagua chama cha kikabila na majizi kama chadema,cuf wenyewe walishajifia kitambo.

nccr chadema cuf. . . plus mtikila. sera gesi gesi gesi. utesaji kinyume cha haki za binadamu etc.
 
TANZANIA INAONGOZWA KIDIKTETA? Kama Ndio Dikteta ni nani?

Ukituuliza watu wa Mtwara na Lindi jibu ni Ndioooooooooo... Na dicteta ni Shemeji Yetu, yaani Kaka yao wao. Ama kweli wakwe zake hatueshimu.. Dada rudi nyumbani mwache Aishi peke yake. Huku kuna ugali wa muhogo,chamaki nchanga na makopa na vyakula vingi vya asili.

Dada huku ndio kwenu... UDIKTETA WA SHEMEJI.... Shemeji na ndugu zake kwa makusudi wamevunja katiba na kuiongoza mikoa tajwa kiudikiteta kama ifuatavyo.........

1. Katika mikoa hiyo ni marufuku mtu kutoa maoni au kuhoji juu ya rasilimali za Nchi na manufaa yake kwa jamii inayozunguka mfano GECHI, usiseme gesi UTANYEA DEBE. Katiba inaseama wazi kwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni na kuhoji juu ya Raslimali za Nchi.. Vipi shemeji Na Ndugu zako mvunje katiba kwa manufaa yao?

2. Marufuku kuendesha Mikutano ya kisiasa.. Iko wapi Demokrasia TZ. Kama nyie mnafurahia shaghuli za kisiasa Sie twasikiliza Kwenye Vyombo vya Habari tu miaka yakatika hakuna ruhusa hata mkutano wa siasa ngazi ya kitongoji.. Umuhimu wa vyama vingi uko wapi?

Je INTARAHAMWE hawataki kukosolewa juu ya Matendo yao? KIONGOZI WA CHAMA AMEDHALILISHWA KWA HILI.

Kiongozi wa CHADEMA alikwenda kuomba kwa serikali kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa ktk mikoa hii... Gazeti moja la serikali Likaandika KIONGOZI MKUBWA WA CHADEMA ASALIM AMRI AIANGUKIA CCM hawa waandishi WAPUMBAVU kwa hiyo mnafurahi Ss kuongozwa Kidkteta? Yeye hakwenda kuiomba
CCM bali serikali... UJUMBE KWA SHEMEJI na NDUGUZE.

Haki ya mtu hapokonyeki bali hucheleweshwa tu. Zungukeni 2015 Msije huku kujifanya Mnapiga Kampeni MARUFUKU
CCM WANANCHI WA LINDI NA MTWARA TUAMKE TWALALA KAMA PONO. Kwa hili tusiwe wapumbavu Muda umefika wa kusema BAI BAI C.C.M wametukandamiza vya Kutosha.

CCM TUKAPINGA KUJIPILIKANA KULINDI NA KUMTWARA NNE MALIYE BHELEKETELA JUNA AJIE TAGA MBEPESI.

But we all have similar thoughts, feelings,wants and dreams.We all need to be appreciated for who we are.
 
Mkuu,

We ni miongoni mwa wanahabari mkimalizia retreat? Kama siye please ignore this.

Asante kwa updates. Nilitamani sana kujua kinachoendelea Mtwara baada ya ukimya mwingi...nikijua jeshi ndo linashika hatamu. Nakumbuka mara ya mwisho mabomba yakiletwa kawa ulinzi mkali. Niambie nani anachimba mitaro ya mabomba hayo na uchimbaji umefikkia wapi?
 
mnamtisha nani na vikura vyenu! kwanza mpo wangapi? kwenda kule! Wapigieni chagadema muone kama mtapata hata senti moja ya gesi! Hamkumbuki wakati ule magwanda yalihamia huko yote hadi mkachoma moto nyumba za wanaccm?
 
Namuomba mungu usife mapema ili uje kushuhudia maajabu yatakayotokea hakuna mtu atakayechagua chama cha kikabila na majizi kama chadema,cuf wenyewe walishajifia kitambo.

Majizi ya maliasili za taifa,watoroshaji wa twiga hai kwenda nje,wauzaji wa dawa za kulevya,wauwaji wa tembo,wezi wa Epa,Richmond,meremeta,iptl na mengi.
 
Amin amin nakueleza mtoa hoja, usishangae kuona mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu wabunge wote mkoa wa mtwara kutoka C.C.M pia madiwani wote manispaa ya Mtwara mjini wakawa wa C.C.M. Nawajua vizuri wamakonde ni wepesi kusahau
 
mnamtisha nani na vikura vyenu! kwanza mpo wangapi? kwenda kule! Wapigieni chagadema muone kama mtapata hata senti moja ya gesi! Hamkumbuki wakati ule magwanda yalihamia huko yote hadi mkachoma moto nyumba za wanaccm?

magwanda bado yapo.
usalama wa taifa ndo usiseme.
hairuhusiwi mkusanyiko wa watu ku discus siasa wala gesi.

ila wa mwisho wa yote wapiga kura ndo sisi sisi.
 
Ni nani katika wapinzani ana kashifa ya ufisadi au kuuza unga? Hebu uwe mkweli Simiyu Yetu, kama uko rational, unapaswa kukemea skendle za wanaccm wezi miongoni mwenu, siasa zetu majukwaani zinakosa maana iwapo tunaingia kwenye siasa za ushabiki usio na maana. Mmechukua hatua gani katika skendle hizo? Au wenye mamlaka ni shareholders wa subortage hizo, chadema tuna mambo mengi ambayo tumeyaweka na hamjuwi kuwa tunafahamu. Subiri twende kwenye uchaguzi hapo ndipo kwenye kivumbi,wait and see..

Namuomba mungu usife mapema ili uje kushuhudia maajabu yatakayotokea hakuna mtu atakayechagua chama cha kikabila na majizi kama chadema,cuf wenyewe walishajifia kitambo.
 
Last edited by a moderator:
Amin amin nakueleza mtoa hoja, usishangae kuona mwaka 2015 kwenye uchaguzi mkuu wabunge wote mkoa wa mtwara kutoka C.C.M pia madiwani wote manispaa ya Mtwara mjini wakawa wa C.C.M. Nawajua vizuri wamakonde ni wepesi kusahau

wamakonde wa miaka hio ila sio hawa wa sasa vijana walio pata elimu ya sekondari. . .kama wamakonde wamejua kuji organise nchi ikasimama basi jua hata kueka tiki kwenye picha za mgombea wa ukawa haita kua ngumu.
 
Mkuu,

We ni miongoni mwa wanahabari mkimalizia retreat? Kama siye please ignore this.

Asante kwa updates. Nilitamani sana kujua kinachoendelea Mtwara baada ya ukimya mwingi...nikijua jeshi ndo linashika hatamu. Nakumbuka mara ya mwisho mabomba yakiletwa kawa ulinzi mkali. Niambie nani anachimba mitaro ya mabomba hayo na uchimbaji umefikkia wapi?

code plz
 
nitashangaa sana kama wananchi wa kusini mtachagua tena ccm !
 
Wengine mnahitaji msaada mkubwa sana wa kitaalamu kwa akili yako na unavyowaza mkuu lazima upate tiba mbadala vinginevyo unakwenda kizani kabisa.

TAARIFA NILIYONAYO ni KWAMBA KILA MTU HAPA JF AMEKUDHARAU SANA !
 
Kwa kweli wana mtwara na lindi, tukae mkao wa kula tu , 2015 si mbali ..........ccm ni adui namba moja. Ogopa ccm kama ukoma. Walete wanajeshi ili wapige kura. Wa....s, n ge
 
"Bila kuikataa ujinga huwezi kuikataa CCM" Watu wa mtwara na Lindi muamke sasa, kataeni habari ya kudumazwa na ujinga wa CCM. CCM kila mwaka wanawafanya mitaji yao huku ninyi mkijifia kwa ujinga wenu. Kuchagua upinzani si upumbavu na ujinga bali kuendelea kuipa CCM kura ni UJINGA na UPUMBAVU uliopitiliza. CCM NDIO ADUI WENU NAMBA MOJA kwa maendeleo... iogopeni CCM kama UKOMA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom