2015: CCM kuwa na mgombea, si Rais mtarajiwa

Kwa tafsiri yako basi hakujapata bado mpaka sasa CCM kuwa na mgombea urais kama ilivyokuwa mwaka 1995.

Bado hatuna wagombea wa urais waliotisha kama Mrema na Seif Sharrif Hamad wa 1995, bado ile level ya upinzani ya mwaka 1995 haijafikiwa bado.Seif wa sasa sio yule wa 1995.

Vyovyote mtu anavyoweza kujifariji lakini ukweli ni kuwa UKAWA ya 2015 bado ni dhaifu sana kuliko Mrema wa 1995 bara na Seif Sharrif Hamad wa 1995 Zanzibar.

Sijui tutaupata lini tena uchaguzi ulioiogopesha CCM kama ule, CCM isipogawanyika na vita vya urais mwaka huu basi uchaguzi wa mwaka huu CCM itakuwa inaenda ikiwa na uhakika kuliko ilivyokuwa 1995.

Huo ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli.

We nadhani akili zako hazina akili that is ur wishes not the reality pole.sana kapwela
 
tunapojadili suala la ukweli tujaribu kuwa wakweli uchaguzi wa mwaka huu ni kweli ni mgumu anaye taka asiye taka ndio ukweli unapoongelea mwaka 1995 hata mwl nyerere alisema upinzani uwe kitu kimoja ndipo ccm itaangaika sasa tangu kuanza kwa vyama vingi upinzani umekuwa na umoja wa nguvu ambayo hatujawai kuiona hivi lini mpaka cuf wameamua kutoweka mgombea zanzibar kumpisha salimu mwalimu wa chadema agombee jimbo
 
Si unaona hata wachangiaji wa upande wangu wamepungua?

Mzee Tupatupa
 
vuta nikuvute hadithi hadithi hadithi njoo.....hakika tungo zako ni tata sio tete...unajaribu kutupangia tutaje mgombea kama utakavyo wakati unajua wazi kuwa chama chetu ni chama kikubwa na kinaendeshwa kwa kanuni na taratibu. Ratiba yetu imeanza na vikao vya maandalizi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na baada ya maandalizi tutaitisha kamati kuu na mwisho halmashauri kuu na hapo tutapuliza kipyenga wanaotaka kugombea wakachukue fomu..alafu tutaweka muda maalum wa kurudisha foum na kisha vikao vitafuata vya kupendekeza majina yatakayopigiwa kura na wajumbe wa nec na mwisho wa siku tutamtoa mwali wetu . hatukurupuki ingawa unajipa moyo na tafiti zako ambazo zote ni uongo na uzushi..ninachokushauri wahamasishe wananchi wajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura ili miongoni mwao upate wachache wa kuwapigia ninyi kura..sisi tunao mtaji wa wanachama wengi tu na wametuhakikishia watatupigia kura za ushindi.
Huu mwaka ni wa tofauti. Ni mwaka wa kipekee wa kiuchaguzi. Tangu demokrasia ya vyama vingi ianze mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapo 1995, CCM haikuwahi kuwa kwenye mgagaziko kama mwaka huu. 2015 ni kiboko. Hadi sasa, chama chetu pendwa hakina mgombea wa Urais. Ni jambo dogo lakini linalostaajabisha.Haijawahi kutokea. Ni jambo la kuingizwa kwenye kitabu cha Guiness.

Ndani ya CCM,kumetamalaki makundi. Ni kitu cha kawaida chamani. Ndani ya chama wasiotakiwa wanajitakisha kwa nguvu;wanaotakiwa hawataki. Wanaotaka hawana nguvu-ya kifedha na kiushawishi. Patashika nguo kuhanika chamani. Ni mara ya kwanza Tanzania itashuhudia chama tawala-CCM kikiwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Haijawahi kutokea CCM kuogopa na kuchelewa kumwanika mgombea wake.

Kwa niliyoyashuhudia kanda ya kusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma),kanda ya mashariki (Dar es Salaam,Pwani na Morogoro) na sasa kanda ya kaskazini (Tanga, Klmanjaro, Arusha na Manyara), sihofu wala kusita kusema kuwa CCM itakuwa kwenye uzani sawa na wapinzani kwenye mbio za Urais,Ubunge na Udiwani. CCM haitatisha na kuonekana imeshashinda mahali au nafasi fulani.Never!

Nitakapokwenda Dodoma kwenye vikao vya kichama,nitajipa muda wa kuidurusu kanda ya kati (Singida na Dodoma). baadaye kanda ya ziwa na kanda nyinginezo. Nasema tena,ni kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za Tanzania, CCM itakuwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Mambo yamebadilika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
 
laiti wana ccm wrote wangekua na mtizamo kama wako hakika taifa hili lingesonga mbele.tatizo kuna wakina saada,ghasia.mwigulu,ashumta,...na wengine wengi wanafiki hadi kope zao
 
Kwa mda ulobaki,yampasa kila mtetea haki kununua manati moja ya nguvu na debe la kokoto au gololi dazan
 
Mwenyekiti wangu Mh.J.M. Kikwete ameungana nami katika mtazamo huu

Mzee Tupatupa
 
vuta nikuvute hadithi hadithi hadithi njoo.....hakika tungo zako ni tata sio tete...unajaribu kutupangia tutaje mgombea kama utakavyo wakati unajua wazi kuwa chama chetu ni chama kikubwa na kinaendeshwa kwa kanuni na taratibu. Ratiba yetu imeanza na vikao vya maandalizi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na baada ya maandalizi tutaitisha kamati kuu na mwisho halmashauri kuu na hapo tutapuliza kipyenga wanaotaka kugombea wakachukue fomu..alafu tutaweka muda maalum wa kurudisha foum na kisha vikao vitafuata vya kupendekeza majina yatakayopigiwa kura na wajumbe wa nec na mwisho wa siku tutamtoa mwali wetu . hatukurupuki ingawa unajipa moyo na tafiti zako ambazo zote ni uongo na uzushi..ninachokushauri wahamasishe wananchi wajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura ili miongoni mwao upate wachache wa kuwapigia ninyi kura..sisi tunao mtaji wa wanachama wengi tu na wametuhakikishia watatupigia kura za ushindi.

Mwenyekiti Kikwete naye amepiga hadithi aliposema kama nilivyosema hapa? Wengine sisi ni wakomavu kuliko wengi wenu mlio waropokaji humu

Mzee Tupatupa
 
vuta nikuvute hadithi hadithi hadithi njoo.....hakika tungo zako ni tata sio tete...unajaribu kutupangia tutaje mgombea kama utakavyio wakati unajua wazi kuwa chama chetu ni chama kikubwa na kinaendeshwa kwa kanuni na taratibu. Ratiba yetu imeanza na vikao vya maandalizi kama ilivyokuwa miaka ya nyuma na baada ya maandalizi tutaitisha kamati kuu na mwisho halmashauri kuu na hapo tutapuliza kipyenga wanaotaka kugombea wakachukue fomu..alafu tutaweka muda maalum wa kurudisha foum na kisha vikao vitafuata vya kupendekeza majina yatakayopigiwa kura na wajumbe wa nec na mwisho wa siku tutamtoa mwali wetu . hatukurupuki ingawa unajipa moyo na tafiti zako ambazo zote ni uongo na uzushi..ninachokushauri wahamasishe wananchi wajiandikishe kwenye daftari la wapiga kura ili miongoni mwao upate wachache wa kuwapigia ninyi kura..sisi tunao mtaji wa wanachama wengi tu na wametuhakikishia watatupigia kura za ushindi.

Ndoto za mchana hizo,unataka kutuambia kura za wanachama wenu tu zinatosha kumpeleka mgombea wenu Ikulu?
 
my brain is too matured to be lured by that simple and cheap propaganda.
unapoongelea mgombea wa CCM inamaanisha unaongelea raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama. asiyetaka aanze kupakia mizigo tayari kwa safari ya kuhama nchi.
''THIS COUNTRY IS TOO BLESSED TO BE LEFT TO DOGS''

Kwahiyo unapinga na maneno ya M/kiti wa chama chako aliposema kua siku hizi ukiwa mgombea Urais wa ccm sio kwamba Ni uhakika wa kua Rais?Basi utakua na matatizo,ukapimwe akili
 
umegeuka msemaji wa chama chetu toka lini
Mwenyekiti Kikwete naye amepiga hadithi aliposema kama nilivyosema hapa? Wengine sisi ni wakomavu kuliko wengi wenu mlio waropokaji humu

Mzee Tupatupa
 
Utakuwa na kazi ya kujiuza maana ufisadi umewachafua
 
Back
Top Bottom