2015: CCM kuwa na mgombea, si Rais mtarajiwa

2015: CCM kuwa na mgombea, si Rais mtarajiwa

huu mwaka ni wa tofauti. Ni mwaka wa kipekee wa kiuchaguzi. Tangu demokrasia ya vyama vingi ianze mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapo 1995, ccm haikuwahi kuwa kwenye mgagaziko kama mwaka huu. 2015 ni kiboko. Hadi sasa, chama chetu pendwa hakina mgombea wa urais. Ni jambo dogo lakini linalostaajabisha.haijawahi kutokea. Ni jambo la kuingizwa kwenye kitabu cha guiness.

Ndani ya ccm,kumetamalaki makundi. Ni kitu cha kawaida chamani. Ndani ya chama wasiotakiwa wanajitakisha kwa nguvu;wanaotakiwa hawataki. Wanaotaka hawana nguvu-ya kifedha na kiushawishi. Patashika nguo kuhanika chamani. Ni mara ya kwanza tanzania itashuhudia chama tawala-ccm kikiwa na mgombea wa urais badala ya rais mtarajiwa. Haijawahi kutokea ccm kuogopa na kuchelewa kumwanika mgombea wake.

Kwa niliyoyashuhudia kanda ya kusini (lindi, mtwara na ruvuma),kanda ya mashariki (dar es salaam,pwani na morogoro) na sasa kanda ya kaskazini (tanga, klmanjaro, arusha na manyara), sihofu wala kusita kusema kuwa ccm itakuwa kwenye uzani sawa na wapinzani kwenye mbio za urais,ubunge na udiwani. Ccm haitatisha na kuonekana imeshashinda mahali au nafasi fulani.never!

Nitakapokwenda dodoma kwenye vikao vya kichama,nitajipa muda wa kuidurusu kanda ya kati (singida na dodoma). Baadaye kanda ya ziwa na kanda nyinginezo. Nasema tena,ni kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za tanzania, ccm itakuwa na mgombea wa urais badala ya rais mtarajiwa. Mambo yamebadilika!

Mzee tupatupa wa lumumba (kwasasa arusha)

vipi mchakato wa wagombea watarajiwa kuanza kufukuzia kuchukua form ya mbio fupi huu mchakato unaanza lini??? Maana huwa kwa mida kama hizi kipindi cha nyuma nadhani tayari watamani ukubwa tulikuwa tumesha wajua na tayari wangwkuwa sahizi wako kwenye mchakamchaka wa kutafuta kupendwa na wanachama
 
Mzee Tupatupa,ungekuwa kwetu MACHAME ungepigwa FAINI,wewe ni mkubwa taja tu MWALI WAKO tumjue ili tuinywe mbege yake kwanza...........

Haika mai. Lakini,tajeni nyinyi kwanza

Mzee Tupatupa
 
Huu mwaka ni wa tofauti. Ni mwaka wa kipekee wa kiuchaguzi. Tangu demokrasia ya vyama vingi ianze mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapo 1995, CCM haikuwahi kuwa kwenye mgagaziko kama mwaka huu. 2015 ni kiboko. Hadi sasa, chama chetu pendwa hakina mgombea wa Urais. Ni jambo dogo lakini linalostaajabisha.Haijawahi kutokea. Ni jambo la kuingizwa kwenye kitabu cha Guiness.

Ndani ya CCM,kumetamalaki makundi. Ni kitu cha kawaida chamani. Ndani ya chama wasiotakiwa wanajitakisha kwa nguvu;wanaotakiwa hawataki. Wanaotaka hawana nguvu-ya kifedha na kiushawishi. Patashika nguo kuhanika chamani. Ni mara ya kwanza Tanzania itashuhudia chama tawala-CCM kikiwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Haijawahi kutokea CCM kuogopa na kuchelewa kumwanika mgombea wake.

Kwa niliyoyashuhudia kanda ya kusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma),kanda ya mashariki (Dar es Salaam,Pwani na Morogoro) na sasa kanda ya kaskazini (Tanga, Klmanjaro, Arusha na Manyara), sihofu wala kusita kusema kuwa CCM itakuwa kwenye uzani sawa na wapinzani kwenye mbio za Urais,Ubunge na Udiwani. CCM haitatisha na kuonekana imeshashinda mahali au nafasi fulani.Never!

Nitakapokwenda Dodoma kwenye vikao vya kichama,nitajipa muda wa kuidurusu kanda ya kati (Singida na Dodoma). baadaye kanda ya ziwa na kanda nyinginezo. Nasema tena,ni kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za Tanzania, CCM itakuwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Mambo yamebadilika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)
MIMI NI KIWA MZIMA SITAINGIZWA TENA MKENGE NA CCM TENA.kheri nimpigie mpinzani mara 1000 kuliko ccm
 
vipi mchakato wa wagombea watarajiwa kuanza kufukuzia kuchukua form ya mbio fupi huu mchakato unaanza lini??? Maana huwa kwa mida kama hizi kipindi cha nyuma nadhani tayari watamani ukubwa tulikuwa tumesha wajua na tayari wangwkuwa sahizi wako kwenye mchakamchaka wa kutafuta kupendwa na wanachama

Mkuu MWALLA,kuna breki za Kamati ya Maadili

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Huu mwaka ni wa tofauti. Ni mwaka wa kipekee wa kiuchaguzi. Tangu demokrasia ya vyama vingi ianze mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapo 1995, CCM haikuwahi kuwa kwenye mgagaziko kama mwaka huu. 2015 ni kiboko. Hadi sasa, chama chetu pendwa hakina mgombea wa Urais. Ni jambo dogo lakini linalostaajabisha.Haijawahi kutokea. Ni jambo la kuingizwa kwenye kitabu cha Guiness.

Ndani ya CCM,kumetamalaki makundi. Ni kitu cha kawaida chamani. Ndani ya chama wasiotakiwa wanajitakisha kwa nguvu;wanaotakiwa hawataki. Wanaotaka hawana nguvu-ya kifedha na kiushawishi. Patashika nguo kuhanika chamani. Ni mara ya kwanza Tanzania itashuhudia chama tawala-CCM kikiwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Haijawahi kutokea CCM kuogopa na kuchelewa kumwanika mgombea wake.

Kwa niliyoyashuhudia kanda ya kusini (Lindi, Mtwara na Ruvuma),kanda ya mashariki (Dar es Salaam,Pwani na Morogoro) na sasa kanda ya kaskazini (Tanga, Klmanjaro, Arusha na Manyara), sihofu wala kusita kusema kuwa CCM itakuwa kwenye uzani sawa na wapinzani kwenye mbio za Urais,Ubunge na Udiwani. CCM haitatisha na kuonekana imeshashinda mahali au nafasi fulani.Never!

Nitakapokwenda Dodoma kwenye vikao vya kichama,nitajipa muda wa kuidurusu kanda ya kati (Singida na Dodoma). baadaye kanda ya ziwa na kanda nyinginezo. Nasema tena,ni kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za Tanzania, CCM itakuwa na mgombea wa Urais badala ya Rais mtarajiwa. Mambo yamebadilika!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha)

Kwa tafsiri yako basi hakujapata bado mpaka sasa CCM kuwa na mgombea urais kama ilivyokuwa mwaka 1995.

Bado hatuna wagombea wa urais waliotisha kama Mrema na Seif Sharrif Hamad wa 1995, bado ile level ya upinzani ya mwaka 1995 haijafikiwa bado.Seif wa sasa sio yule wa 1995.

Vyovyote mtu anavyoweza kujifariji lakini ukweli ni kuwa UKAWA ya 2015 bado ni dhaifu sana kuliko Mrema wa 1995 bara na Seif Sharrif Hamad wa 1995 Zanzibar.

Sijui tutaupata lini tena uchaguzi ulioiogopesha CCM kama ule, CCM isipogawanyika na vita vya urais mwaka huu basi uchaguzi wa mwaka huu CCM itakuwa inaenda ikiwa na uhakika kuliko ilivyokuwa 1995.

Huo ndio ukweli na utabaki kuwa ukweli.
 
katika jambo ambalo litakuja kuwatesa nyie bavicha na wakala wenu mtashindwa vibaya sana.
 
Mwakaa huu hata kauli mbiu ni ngumu kuitunga manaake zote washazimaliza... hakuna cha " hari mpya, nguvu mpya na kasi ya kasi ya ajabu". Ssa hivi wanaenda mwendo wa kobe
 
Mwakaa huu hata kauli mbiu ni ngumu kuitunga manaake zote washazimaliza... hakuna cha " hari mpya, nguvu mpya na kasi ya kasi ya ajabu". Ssa hivi wanaenda mwendo wa kobe

kipanya.jpg
 
Mzee Tupatupa,ungekuwa kwetu MACHAME ungepigwa FAINI,wewe ni mkubwa taja tu MWALI WAKO tumjue ili tuinywe mbege yake kwanza...........

Kwa hiyo Mzee Tupatupa unataka kuniambia yale yanayotokea BURUNDI is more or less yatakayofanyika Tanzania au is equal to Yatakayofanyika Tanzania?
 
Na Mzee Tupatupa,refer akiwa fair na mchezo ukawa fair play basi Simba lazima amfunge yanga mabao kadhaa.Sawa nimekuelewa,ila mweleze refer kuwa tunahitaji mcheza mzuri wa haki........Mpira dakika 90

mwaka huu mpira utakuwa ni dkk 120
 
Mwaka huu zamu yenu kuanza. Tajeni!Mzee Tupatupa
Tupatupa nimeamini ww bado ni mchanga sana na hata hivyo vyama vingi vilipoanza 1992 hukuwepo kwenye upigaji wa kura 1995
Ndani ya CCM walioomba kugombea nafasi ya kuwakilisha Chama katika nafasi ya Urais walikuwa zaidi ya 12 na Mwanamke ndani, Lowassa, Kikwete, Msuya na wengineo
William Benjamini Mkapa hakuwa Rais mtarajiwa bali alikuwa Mgombea tena mpaka Mkutano Mkuu wa Chimwaga unafanyika walipopelekwa wagombea watano bado W.B. Mkapa hakuwa Rais mtarajiwa

Badili Heading ndipo tukueleweshe utaratibu wa kumpata Mgombea kuanzia CC-CCM, NEC-CCM hadi Mkutano Mkuu utakaofanyika Jengo jipya la Mikutano Tambukareli Dodoma mwaka huu.
 
CCM ni chama kikubwa. Hakitishwi wala hakitishiki na vyama vidogo ambavyo havina hata sera za kunadi kwa wananchi
 
my brain is too matured to be lured by that simple and cheap propaganda.
unapoongelea mgombea wa CCM inamaanisha unaongelea raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama. asiyetaka aanze kupakia mizigo tayari kwa safari ya kuhama nchi.
''THIS COUNTRY IS TOO BLESSED TO BE LEFT TO DOGS''
 
CCM ipo ktk wakati mgumu pengine kuliko nyakati zote ktk historia ya siasa za nchi hii....

Mkuu uliona wapi mtu anapokufa akawa katika wakati usio mgumu? Hata mumwambie umetenda mema sana unakwenda peponi, sembuse mwenye dhambi kama CCM!
Jehanamu kunatisha usiombe! Na jamaa wanajijua wanaenda jehanamu ya hapahapa duniani
 
my brain is too matured to be lured by that simple and cheap propaganda.
unapoongelea mgombea wa CCM inamaanisha unaongelea raisi wa tanzania na amiri jeshi mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama. asiyetaka aanze kupakia mizigo tayari kwa safari ya kuhama nchi.
''THIS COUNTRY IS TOO BLESSED TO BE LEFT TO DOGS''

Tumechoka kudanganywa si na wanasiasa wala viongozi wa dini,mbona hawa waliopo ni MORE THAN DOGS....Hawa wa sasa nadhani wapo kwenye 'Category'moja na LUCIFER...........
 
Back
Top Bottom