Natangaza rasmi na kumshukuru Mungu kwa kunipa mwaka 2014 kama mwaka wangu wa kuzaa mema na neema kubwa isiyo kuwa na kifani. Hasante Mungu kwa kunipa mwaka 2014 nitakaojipatia mke mwema na kuimarika zaidi kiuchumi. Amen

Ameen na iwe hivyo kwako. Nami pia namwomba Mungu anijalie neema mwaka huu 2014. Aniinue kutoka kiuchumi na kunipa hekima katika kufanya mambo. Anipe wa ubavu wangu. Ameeen!