Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Signal gani, wakati unatumia analog ambazo zimeishwa zimaHivi huyu Marry Hunbig huyu...hmmm...hmmm haya bana.
Wallah tena rada langu linanipa signals f'lani f'lani hivi.
Hawa hawatalala mwaka mzima 2013.
- Arushaone
- Bishanga
- Sosoliso
- Nyani Ngabu
- Ynah
- Good Guy
- Marry Hunbig
- MziziMkavu
- manoah
Kheri ya mwakaaaaa 2013 , Mungu mwenyezi anakupendaHawa hawatalala mwaka mzima 2013.
Signal gani, wakati unatumia analog ambazo zimeishwa zima
te te te te te te....... Pole weeeee nauza king'amuzi from Ukkweli mkuu katv kangu naona chenga tu!!!!!!!! mweh!
Hivi huyu Marry Hunbig huyu...hmmm...hmmm haya bana.
Wallah tena rada langu linanipa signals f'lani f'lani hivi.
- Arushaone
- Bishanga
- Sosoliso
- Nyani Ngabu
- Ynnah
- Good Guy
- Marry Hunbig
- MziziMkavu
- manoah
Nimeamini manoah umeingia na digital 2013 kama radar yako imetuona, ila nadhani tatizo liko kwenye capacity yake kwani haikuwaona members wengi niliowaona kwa radar yangu.
Hope unaendelea kukua sasa na kuachana na yale mathread ya 2012.
2013 HOYEE
Tayali nimekuongezaOngezea charminglady :becky:
Tayali nimekuongeza