Moment of truth!
Damn game seven!!!
Kaka mkubwa game inaonekana imekuwa tense sana!!
Dah basi tena hii ngoma Game 7 Miami kabeba agh!
NBA 4thQ ni ugonjwa wa Moyo tu mtu kupata kama ni Fan wa ukweli wa moja ya hizo timu. 4Q sikuzote mkipishana kwa 2 au 3 Presha tu labda uwe na Jordan au Kobe.Ingekuwa Soka game lingekuwa limeshaisha zamaniii. kila mchezo una raha yake.
kende zoote zimeninywea...
Very very very tense, tumepoteza ubingwa in 20 seconds!
Ni Kweli Kabisa Lebron ndio Face ya NBA ss hivi ila Leo Green naona kawa Yellow!
Mchezo wa kupokezana vijiti unaendelea
Haiya, naona Manu anatembea na mpira hatua kama 4 bila kudribble na refa anapeta/