2013 NBA Playoffs

Go GO Spurs GREEN 3 Machine 4 Final MVP!

Green aamke haswaa, Neal kapotea kidogo ila leo Diaz sijui kafufukia wapi, tukimaliza qtr hii up front, ubingwa wetu!
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371609175.316696.jpg
    95.8 KB · Views: 36
Naona ss Miami wanarudi na Charlmer anaturudisha kwenye ileeee Game 2! Kama sikosei aliocheza vizuri na Allen akianza 3 Spurs wataumia Vijukuu vya Popovich lazima waamke Wasimuachie Kazi Baba yao tu Duncan.
 
Mike Miller with almost no contribution for the second game in a row/
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1371610617.581284.jpg
    66.9 KB · Views: 36
Not 1, not 2, not 3 ...

Nasubiria comeback hapa! Ha ha ha.
 
Miami Heat huwa wakishinda naona Mapicha kibao humu kutoka kwa BAK I hope tutaona za Spurs.
 
Biashara inaweza kwisha leo,labda Heat waamke
 
wazee naona mambo magumu kwa Heat....leo Spurs anamaliza mchezo........
 
Hii kitu inanichelewesha kuoga niende kazini! Duh.
 
Hahahahahahaaaaaaa, chezea vibabu!
On ya own backyard.
 
Game limeshawakimbia Miami. At least two possession game. 5 points game. Lol
 
Parker kweli kaamka wakati muafaka
 
Miami are forcing game seven. 2 points game.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…