Spurs leteni mavituuuuuz! Leo Manu kaamua kijana wa Argentina naona Mourinho sijui leo yupo wapi zianze ss 3 za Green plz.
Spoeltra mi simuelewi, na ushindi umekua unapatikana kwa juhudi binafsi na kidogo sana influence ya Spoletra. Ukiangalia gemu ya 5 ilipotelea kwene Q3 ambapo yule dogo Cole akicheza kama point guard, timu inapoteza chemistry kabisa, nafikiri ilienda over 10-1 ktk Q3. Sielewi kama ni kujenga capacity, lakini sioni kwa nn mchezaji mwene kiwango kidogo acheze alongside the Big 3, it is just ridiculously stupid/Hii series ni tactical battle ya Spoeltra vs Popovich
Tukutane alfajiri kushuhudia bingwa mpya akitawazwa katika ardhi ya hasimu wake.
Go Spurs, Go Green, Go Parker!!!!!!!!
watu bwana wanapenda kutawadha kabla hawajenda haja/
sasa pia wapo wanaoenda haja kabla ya kutoa boxer au kufuli..yetu macho/Hahahahahahaaaa, sio hivyo tu Mzee, wakati mwingine kujiswafi kabla ya swalah!
Mkuu Game 7 hapa. Ingawaje nataka Miami wapigwe ubaya lakini ukweli ni kuwa itakuwa ngumu. NBA ni gimmick kaka. Miami wanauza tiketi kuliko timu zote na NBA watawaprotect wabebe kombe tena. Keep watching.
Tukutane alfajiri kushuhudia bingwa mpya akitawazwa katika ardhi ya hasimu wake. Teh the naona unataka kuwauzi baazi ya watu humu, Spurs ss GREEN 3 MACHINE! Aamke ss na Manu aamke alafu uone kazi yake lasivyo Lebron na Allen nao wakiamka itakuwa Game 7. Ila Spurs Mr GREEN 3 Mean Machine akianza kweli ujue ndio FINAL MVP!
Go Spurs, Go Green, Go Parker!!!!!!!!