Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Hapana nimesema tu sababu Wamarekani Weusi wengiwao Asili zao ni West African na White American Asili zao Europian ila inawezekana akawa na Damu ya Kinigeria Wade ni good player ila nataka Spurs wachukue leo naona Mzee Abdulhalim kajificha.
Ah wapi, Dulla 1 siezi kujificha kwa sababu ya basketbolo. Ni majukumu tu yanabana.Hapana nimesema tu sababu Wamarekani Weusi wengiwao Asili zao ni West African na White American Asili zao Europian ila inawezekana akawa na Damu ya Kinigeria Wade ni good player ila nataka Spurs wachukue leo naona Mzee Abdulhalim kajificha.
Kwani babu Parker alikua wapi game 2?"Camon baby let a good time roll"
waliokua wanakenua meno wakizani a hamstring will keep Babu Parker out of this game, walie tu!
Kwani babu Parker alikua wapi game 2?
Muungwana vp? mbona unesepa kimyakimya, njoo utujulishe matokeo huku/Na wewe ulikua wapi game 3?
teh teh teh..a very quiet and boring 4th quarter. aya kiko wapi?
Nimecheka sana pole kwa majukumu ndio life, Jana tulikuwa chini ya Uvungu big 3 Michezo? Mungu atakupa wepesi wa majukumu.Ah wapi, Dulla 1 siezi kujificha kwa sababu ya basketbolo. Ni majukumu tu yanabana.
Baada ya game 4 tuje tujadili na ikiezekana tueke bet na mtu humu..100 bucks/
Kama umegundua hii series ni ya kupokezana atakayeshinda game 2 mfululizo ndio atakuwa bingwa but kama wataendelea kupokezana Spurs atakuwa bingwaAtakayeshinda Game 5 ndo mshindi. Nawaona Spurs options zinaanza kwaishia taratibu.
Kama umegundua hii series ni ya kupokezana atakayeshinda game 2 mfululizo ndio atakuwa bingwa but kama wataendelea kupokezana Spurs atakuwa bingwa
So far
Game 1-Spurs
Game 2-Heat
Game 3 -Spurs
Game 4-Heat
Imebaki
Game 5-?
Game 6-?
Game 7-?
Uzuri ni kwamba bingwa atapatikana game 7
Kama umegundua hii series ni ya kupokezana atakayeshinda game 2 mfululizo ndio atakuwa bingwa but kama wataendelea kupokezana Spurs atakuwa bingwa
So far
Game 1-Spurs
Game 2-Heat
Game 3 -Spurs
Game 4-Heat
Imebaki
Game 5-?
Game 6-?
Game 7-?
Uzuri ni kwamba bingwa atapatikana game 7