2013 nahamia chitchat

2013 nahamia chitchat

deogan

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2011
Posts
399
Reaction score
46
2012 the end of the world!!!!!!!! well it never happened. So what the conspiracies got for 2013? The masonic year only because it ends with a 13? i don't think it is. There's only one thing that is certain; believe in God and you will live.John 14:6.

Everyone wants to change to something new, lol! Not a thing is new in this world. Love everyone around you, then you'll see everything as its new.

**********Wishing you all a Happy New Year***********
 
Karibu sana ila kuna kiingilio.kule ni uanja wa nyumbani nitusi popote ila ukinitusi kule wafa.mimi ndio miss chit chat mwenyewe.wasiliana na Baba V
 
Last edited by a moderator:
hata mimi nilijua huku free stress, ila ukikutana na mabinti wakorofi kama FP utaliona jukwaa chungu,
ha haaaa, umeingia vibaya tu babu.....
huku mimi natambulika kama binti mpole kuliko wote.....
 
ha haaaa, umeingia vibaya tu babu.....
huku mimi natambulika kama binti mpole kuliko wote.....
ahaaa! unajipigia debe kwa huyu mgeni ee? subiri wasaidizi wangu wanaendelea kufanya marekebisho kwenye mitambo yangu,...utakoma...
 
ahaaa! unajipigia debe kwa huyu mgeni ee? subiri wasaidizi wangu wanaendelea kufanya marekebisho kwenye mitambo yangu,...utakoma...
ha haaaaaaaaaa, wageni hawana nafasi..... tayari nilishamilikiwa......
 
achakumwonea binti wa watu hana makuu FP hana tatizo na mtu labda useme jingine
afadhali ndugu yangu mpalu umekuja kunitetea, asante saa....
Happy new year my dear......
 
Last edited by a moderator:
na asipofuta tunamreport kwa mod apidwe ban huku arudi kule kule kwenye stress zao
kabisa itabidi arudishwe kule au itabidi akabidhiwa kwa kiranja mmoja aonyeshwe mazingira kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom