mkuu, kama waumini unawahubiria kila siku na huku wakiendelea kutenda dhambi, haimaanishi ya kwamba mhubiri aachane na juhudi yake ya kufanya mahubiri. hivyo hivyo, suala la slagan za kuleta umoja na kusisitiza kudumisha amani ni muhimu sana kwa jamii yetu, hata kama mambo mengi hayaendi sawa. ni muhimu pia kukumbushana mambo ya msingi ya ustawi wa jamii yetu, na si bora kukosa yote. tafakari