2011: Visima Kuchimbwa Singida Mjini

Wakuu hivi visima bado vinachimbwa mijini, yaani kama makao makuu ya mkoa wanaongelea kuchimba visima ni vipi kuhusu Igunga. Ok najua watu watasema mbona hata Dar mwendo ndiyo huo huo! Jamani haya ni mambo ya aibu kabisa wala si jambo la kufurahia hata kidogo. Yaani miaka 50 ya uhuru tunazungumzia maji ya visima mijini?????????

Kilichionimaliza hapa chini ni kuona kiongozi mkubwa kabisa wa chama tawala, waziri mzoefu kupiga picha hadharani akikabidhi hundi kwa mkandarasi iliyotolewa na Sabodo kwa ajili ya uchimbaji visima Singida Mjini. C'moon mambo mengine inabidi uone aibu Chiligati hakustahili kabisa kukaa karibu na hiyo hundi ni aibu.Hizi hela za Sabodo mimi nilifikiri ni kuchimba visima vijijini huko kusikofikika, sasa kumbe hata makao makuu ya mikoa??? Serikali hii ina nini cha kujivunia in 50 years kama hata mambo basic kabisa kama haya hawayawezi???????


68zeoy.jpg

Acha wivu wa kike ulitaka cdm ndio wapewe tu ? nyie hao hao Sabodo si ndio mfadhili wenu
 
Duh! Hii imekaa vibaya hakuna mamlaka ya maji ya singida nafikiri wao wangemwambia huyo SABODO wanahitaji nini ili waboreshe huduma za maji, napata wasiwasi inaweza kuwa SABODO anacheza cinema ya kihindi Hapa pesa zake na kampuni ya kuchimba visima yake kwa hiyo fully kiini macho.
 
Back
Top Bottom