2011 Porsche Panamera 4


mkuu hii kitu mi nimeshazimika nayo.... wacha nimalizane na preta kwanza coz ya kwake yeye anauza CASH kitu mnato brand new brand new
 

Picha ya tatu ya hii kitu....ukipewa lift lazima ukatae kuingia.....inanikumbusha jamaa mmoja alikuwa na prado old model kijijini kwetu...kulikuwa na shida ya usafiri sana hivyo alilazimika kuombwa lift mara kwa mara na sie wanakijiji...basi jamaa alikuja na mpya hiyooo...alishonea vitambaa vyeupe kwenye seat zake...sasa imagine umetoka zako shamba na jembe lako begani ngoma unamsimamisha nae anasimama....ukicheki ndani na wewe ukijicheki unamwambia atangulie..........true story hommies!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…