Ata mimi nimemshangaa unauziwa old model ya 1998 alafu unaifananisha na new shape ya 2007 !!!
Jamaa dizaini katoka bush juzi juzi yaani hiyo range rover yake hata milioni 5 sinunui tena ikiwa hapa hapa tz ishalipiwa kila kitu...
By the way hii bei ya rav4 inabidi iwe between 20-30m not more than 30

Kwa uzoefu wangu linabidi liwe more than 30ml,hilo ni 2007 new shape na rangi uwa ni factor kubwa sana ktk kupanga bei ya gari,huyo jamaa hapo juu anaweka gari la 1998 spare ya model hiyo ata hapa Dubai ni ngumu sana kuzipata watu wengi wanayapaki kutokana na spare ndogo tu.Rav 4 new shape ipo juu ktk bei na ushuru pia.Tuliingiza Harrier ya 2007 ushuru pekee ulikuwa 14ml ila ukikutana na mtu atatakakulinunua kwa 20 ml !!!!!
hahaaaa, siongezi neno! gari ya 2007 unalinganisha na scrap ya 1998!!!
Check na beforward ndo useme tena bei
Pia check TRA ujue ushuru wake
TRA ni 7m sa .tatizo wabongo hatufanyi utafiti tunakubari kila neno
Kwa uzoefu wangu linabidi liwe more than 30ml,hilo ni 2007 new shape na rangi uwa ni factor kubwa sana ktk kupanga bei ya gari,huyo jamaa hapo juu anaweka gari la 1998 spare ya model hiyo ata hapa Dubai ni ngumu sana kuzipata watu wengi wanayapaki kutokana na spare ndogo tu.Rav 4 new shape ipo juu ktk bei na ushuru pia.Tuliingiza Harrier ya 2007 ushuru pekee ulikuwa 14ml ila ukikutana na mtu atatakakulinunua kwa 20 ml !!!!!
TRA ni 7m sa .tatizo wabongo hatufanyi utafiti tunakubari kila neno
Ha ha ha! Wale waliofunga maduka yao ya nguo M city, wali conclude kwamba, 'There is no enough middle class in Tanzania'. Wengi wemeshazoea Vitz so watatoa bei za milioni saba nane hapa. Sana sana watakuchefua tu!
Ushuru ni 12.4m
Middle class ipo ila ni ya aina tofauti kabisaa kulinganisha na conceptualization ya "middle class", mshahara hautoshi lakini anatakiwa ajenge, asomeshe, asaidie wazazi, viwanda ndani havizalishi hata pini kwa hiyo mshahara unatosha kuishi tu ndio maana spending ya class hii haionekani.
Mathalani tairi zingekuwa zinazalishwa nchini bei ingekuwa nzuri, saruji na nondo bei ingeshuka, kodi zipunguzwe japo kwenye magari, ada za shule juu sana, mikopo riba ya kuchumpa huyu anayeitwa middle class hawezi fanya shopping Mlimani City Regularly
agiza zije kuozea bandarin kwa ushuru....
Mido klasi ya kununua mchele kariakoo, tandale na labda kunywa bia kontena hiyo ipo lkn mido klasi walioiongelea watu wa MLn City haipo hapa Bongo au ni ndogo sana, yaani watu wanaoweza kuingia Shoprite na kufanya manunuzi ya 80 000 shilingi kwa wiki ni wachache sana na wengi wao ni wageni, ndio maana jamaa wakasepa!