ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
kitu hiki cha ukel dada ASHA, bei ngap?........
Kama chini ya ya mil 18 nipm,
Ongeza maelezo basi, hii gari ipo wapi? Imesajiliwa au vp? Mambo ya road licence na insurance. Maelezo haya yatasaidia kufanya uamuzi.
Kama chini ya ya mil 18 nipm,
Yaani Rav 4 ya mwaka 2007 iwe chini ya hiyo bei!!!wakati ushuru pekee ni almost 10ml,you are not serious..
Kama chini ya ya mil 18 nipm,
kwa nini nisichukue prado au landrover discovery
Zenyewe ni bei gani ???
aise millioni 30 ni nyingi sana kwa gari kama Rav 4. Si ni bora nivute mashine ya kueleweka kama Range Rover, BMW, Prado, etc na chenchi bado itabaki. Nyumbani ukipaki mashine ka hizi lazima majirani wakuheshimu, sio unapaki Rav 4 alafu unataka uonekane upo juu ya wenye Range Rover. Tumia pesa vizuri, kamata Range Rover P38 hapo au BMW X5/X3..
Agizia mkuu, gari za ukweli sana hizo.