Hapana duka lipo ila nilijichanganya nikaenda kusoma
Siku zote nilikuwa na shauku ya kusoma nikaanza QT 2008 elimu haikunitenga as 2011 nikajoin Mzumbe na Sasa ni mtumishi wa umma
Naamini ningejikita kwenye biashara ningefika mbali ila sio kesi
Wote hapa wanaosema walikuwa wamezaliwa , walikuwa wapo latano acheni uongo humu watu mumekomaa midhili ya kutisha hapa la tano my foot hapo wote mpo chuo au sekondary aiih ! Eti latatu my foot hata Mwachiluwi ulikuwa chuo au secondary msitufumbe machoo