2000/=

2000/=

Mh hao waliomzunguka hawawezi kumpa ili kumwondolea mwenzao hiyo kadhia? Au ndo ubepari wenyewe huu?
 
sasa sijui hiyo noti ilizama vipi ....kaazi kweli kweli.
 
mbaya zaidi ni watu wazima ingekuwa ni watoto ningesema ni akili za kitoto!
 
attachment.php
 
Lool...kwaya imestopishwa watu watafuta sh 2000. Gharama ya sabni n kufua hiyo nguo kweli inalipa kijitosa humo
 
hapo ndo utajua sisi Wananchi tunashida sana na hayo yote wanasababisha watu wachache katika serikali hii iliopo Madalakani walituaidi maisha bora lakini wapi elfu moja kwetu ni kama elf 50 sasa elf 2000 je lazima mtu aitafute...
 
Mtanzania wakawaida anaishi chini ya dola moja! sasa 2000/= ni zaidi ya dola moja! akiiwacha hivi hivi hakuna maisha! eeh Mungu turehemu waja wako, hali zetu za kimaisha ni mbayaaaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom