Mpunumpunyenye
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 114
- 50
- Thread starter
-
- #21
Sasa mkuu hapa tunadanganyana asee haiwezekani bank wakupe mil200tsh bila makablasha wala biashara ya vipi utarejesha mkopo.
Otherwise hii ni story ya kupikwa tena imetoka jikoni kijiweni kwenu...
Hakunaga hii kitu ndg make benki hawaangalii tu thamani wala uzuri wa kajumba kako bali ni namna gani umejiandaa na sababu ya kukopa kwako.
Na uwe makini mkuu isijekuwa kuna mtu ndani ya hiyo benki katamani hicho kijumba akupokonye kiaina! Shaulilo....
Kwa jinsi kila mtu anavyotoa ideas zake inaonesha bongo biashara nyingi zialipa. Ila rate ya kushindwa kulipa mikopo benki ni kubwa sana sijui kwa nini? Mtoa mada mkopo unasaidia sana kujenga au kuimarisha biashara iliokuwa up and running,yaani una biashara na ushajua inakwendaje then unaiimarisha kwa mkopo. Ila kukopa then ukaanzishe biashara hizi zetu ndog ndogo, nyumba itaenda enda hio. Kuwa makini sana na biashara uayotaka kufanya.
Biashara zenyewe ngumu, profit kidogo sasa ukijumlisha na interest ya mkopo hali itazidi kuwa mbaya.
Mkuu bank wamekupa uhakika wa kupata m200 kulingana na thamani ya nyumba yako lakini kamwe hawatakugrant huo mkopo ikiwa utaonesha kuteteleka/mashaka jinsi ya kurejesha pesa yao.Mbona mgumu kuelewa? Nimesema dhamana ninayo bank wamekagua na wamesema wanaweza nipa hadi mil 200 sasa ninachofanya sasahivi ni kufanya upembuzi yakinifu ni biashara ipi naweza kufanya ili niweze rudisha mkopo ambayo nikiandika proposal itawleweka
ulipaswa kupanga kabla hujaenda
now nafikiri uweke ukumbi wa muziki ..kama bendi hivi..
angalau hutakosa milioni kumi kila mwezi
unaenda kukopa bila kujua biashara gani ..lol tayari ushsafeli hapo jihesabie umwewauzia bank nyumba kwa m 200Nina nyumba ambayo bank wamekubali kunikopesha million 200, je ni biashara gani itakayo nilipa fasta yaani zaidi ya mil 10 kwa mwezi!
Hili nimelipenda but inabidi awe tayari na viwanjaUkipata fundi mzuri muaminifu unaweza jenga nyumba hata tatu na kuziuza kwa milioni 120 moja
Huo ukumbi inaTegemea na Location. Sehem itakayo mlipa ni Maeneo ya Mjini.
Je atalazimika kununua Eneo ndio ajenge ukumbi!? Au atalazimika kukodisha sehem na kuiendesha!?
Tufafanulie vizuri Mkuuu.
Permit unapatia wapi ya kuingiza mifugo saudi arabia?peleka mifugo Saudi Arabia kama mbuzi , kondoo hii inalipa sana , ukinunua mbuzi kwa bei ya jumla ya Tsh 25000/= na utauza kwa Tsh 180000/=
200mil ni parefu sana kama huna biashara tayari. Ungeanzia angalau nusu yake (100mil) na ukiirudisha kwa ufanisi unafanya top up kidogo kidogo. Ningekushauri uiweke kwenye kilimo ila kiwe cha kisasa na uajiri mtaalamu. Binafsi niliwahi kukopa 80mil na zilinipeleka race sana ila namshukuru Mungu baada ya kupoteza karibu robo yake, niliweza kutuliza kichwa na kuwekeza sehemu ambapo ilinizalishia wastani wa 5.5mil kwa mwezi na nikiweza kurudisha wote ndani ya muda wa marejesho. Chamsingi uwaze kwanza pakuiwekeza na hasa investiment utakayoweza kuimudu. Siri nyingine ya mkopo mkubwa ni kwamba usiwekeze wote. Tumia japo 70% na 30% iweke kama emergency kwani lolote laweza kutokea hivyo hiyo 30% itakunyanyua pindi ukianguka. Kila la kheri mkuu.