Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Hakuna hiyo wanawake hawa wana njaa ya kuolewa balaa wanataka kusitiriwa hawa hali
Ni mbayaa
mm ninao 21..Fanya uchunguzi mdogo sana utagundua hilo, kwa mfano angalia tu hata wakati labda unakuwa haukumbuki kwamba kuna baadhi Wanaume ambao walikuwa wanapata mademu wote yaani wanawabadilisha Mademu wanavyotaka halafu kuna wengine hawapati mademu hata wafanyaje? Haukumbuki hilo? Unafikiri ni kwa nini? Ni kwa nini Wanawake wanatembea na Wanaume wale wale?
Hata Shuleni kuna washikaji waliokuwa wanawabadilisha mademu kama nguo na mademu wanajua wkt kuna washikaji wengine miaka 4 inaisha hawajawahi kupata demu shuleni, na siyo kwamba hawajaribu kutokea mademu, sasa kwa nini?
Yaani wale Wanaume ambao tunawaita vipanga ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote na Wanawake wanalijua hilo lkn bado wanawakubalia? Ni kwa nini?
Nice big upKitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.
Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
Weak pointFanya uchunguzi mdogo sana utagundua hilo, kwa mfano angalia tu hata wakati labda unakuwa haukumbuki kwamba kuna baadhi Wanaume ambao walikuwa wanapata mademu wote yaani wanawabadilisha Mademu wanavyotaka halafu kuna wengine hawapati mademu hata wafanyaje? Haukumbuki hilo? Unafikiri ni kwa nini? Ni kwa nini Wanawake wanatembea na Wanaume wale wale?
Hata Shuleni kuna washikaji waliokuwa wanawabadilisha mademu kama nguo na mademu wanajua wkt kuna washikaji wengine miaka 4 inaisha hawajawahi kupata demu shuleni, na siyo kwamba hawajaribu kutokea mademu, sasa kwa nini?
Yaani wale Wanaume ambao tunawaita vipanga ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote na Wanawake wanalijua hilo lkn bado wanawakubalia? Ni kwa nini?
Weak pointNi kweli wana njaa ya kuolewa lkn na siyo kila Mwanaume, ndo maana Wanaume wale wale wanatembea na Wanawake wote, angalia mfano Diamond anekula karibia kila Mwanamke na wote wanajijua sasa jaribu wewe kuwabadilisha Wema, sijui Jokate n.k. hlf uone utafika mbali kiasi gani!
Inamaana hiyo 20% haibadiliki? Kwamba hao wanaume walio nje ya 20% huwa wapo static to their conditions?Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
Inabidi mtu awe na research ya kufuatilia watu kwa karibu sana ili kutuhakikishia hizi figures, kitu ambacho si rahisi kwa sababu haya ni mambo ya faragha sana.Mazee haya mambo huwa sijui mnayashuhudia wapi.
Hivi ni kweli mtaani tunapoishi kati ya wanaume 100 basi 80 hawapati wanawake wa kuoa wanazunguka makanisani kusali na wanaishi kubaka?
Hapana.
Naona kaamua kutumumunyisha matango tu....Inabidi mtu awe na research ya kufuatilia watu kwa karibu sana ili kutuhakikishia hizi figures, kitu ambacho si rahisi kwa sababu haya ni mambo ya faragha sana.
Vinginevyo hizi ni hadithi za kutunga ambazo zinajipa sura ya uhalisia kwa kunukuu takwimu zilizonyofolewa hewani.
Sent from my Kimulimuli
Hawa ndio wale wanasoma vitabu vya "Self Help" vya Wamarekani,halafu wanataka ku "copy paste" watuletee hapa ambapo kuna watu wana maisha tofauti sana.Naona kaamua kutumumunyisha matango tu....