20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Ulishawahi kujiuliza kwa nini kuna Wadada wengi sana siku hizi hawajaolewa? Siyo kwamba hawapati Wanaume au hakuna Wanaume wa kuwaoa bali ukweli ni kwamba hawapati Wanaume wanaowataka wao, kama ulikuwa haufahamu hilo basi nakuelimisha leo hii, hii inaitwa Kanuni ya 80/20, inasema kwamba 20% tu ya Wanaume ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote, na Wanaume waliobakia wanaondoka patupu, yaani kwa maana nyingine kama wewe ni Mwanaume na uko nje ya 20% haupati demu hata ufanyeje labda ubake ambapo utaishia Jela au ukahonge Kona Bar, lkn utalala njaa kwa kukosa hela ya kula!

Siku hizi kuna Wanaume wengi tu hawapati Wanawake wa kuoa, ingawaje wanajaribu kila wawezalo, lkn wanasahau hii Kanuni kwamba hawamo kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka kuolewa nao, hivyo utamaliza dawa zote, utazunguka kwa Wachungaji wote lkn kama haupo 20% ya Wanaume hautapata Mwanamke labda ubake!

20% ya Wanaume wanalala na 80% ya Wanawake, Wanaume waliobakia hawapati Wanawake.

Ndiyo maana utasikia maneno meengi ya kashfa ktk kwa Wanaume ambao wako nje ya 20% sijui mara mtazeekea nyumbani, mara sijui muda unakwenda lkn ukweli ni kwamba siku hizi Wanawake hawakubali kuolewa na ambaye hana game, hata kama akipiga miaka 40 ni bora lkn chini hashuki, ...

Male-FemaleRatio.png
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya idadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji ya kungonoka kama bata.

Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja na uasherati kwao ni hobby.
 
Kitu kinachonifurahisha ni kwamba nusu ya utajiri wote duniani unamilikiwa na asilimia moja tu ya udadi ya watu wote duniani. Wengi tuliobaki katika hiyo asilimia 99 ni watu mafukara, na ukiangalia kwa ukaribu watu wenye mali wako very civilised, yani wamestaarabika na hawaendekezi mambo ya kienyeji kama kungonoka kama bata.

Watu masikini ndio wanaongoza kufanya mambo ya ovyo ovyo, hiyo asilimia 20 ya wanaume na hao asilimia 80 ya wanawake ndio wale wenye hali duni, ndio wale wanaendekeza umalaya, na kudhani uzinzi ni ujanja.


Siyo hivyo nafikiri labda haujailewa hiyo Kanuni, ni kwamba wewe kama Mwanaume na hauko kwenye 20% ya Wanaume ambao Wanawake wanataka, hauwezi kupata Mwanamke wa kuoa, kwa maana Mwanamke hawezi kukukubali!
 
Nakubaliana na wewe,... Mara nyingi wanawake wanafatasize sana ambapo kwa asilimia ya fatansy ukweli ni asilimia 20% tu ya mia,... Uwez pata mtu unaemtaka na akapatikana asilimia 100% ni rare sana,.. People are never perfect ,...ukiona yupo perfect basi jua ur in for a surprise, soon or later
 
Hii inaweza ikawa kweli, wanaume wenye vigezo vya wanawake walio wengi ni wachache sanaaaaaaaaa.
 
Mazee haya mambo huwa sijui mnayashuhudia wapi.

Hivi ni kweli mtaani tunapoishi kati ya wanaume 100 basi 80 hawapati wanawake wa kuoa wanazunguka makanisani kusali na wanaishi kubaka?


Hapana.
 
Mazee haya mambo huwa mnaya-overrate saana.

Hivi ni kweli mtaani tunapoishi kati ya wanaume 100 basi 80 hawapati wanawake wa kuoa wanazunguka makanisani kusali na wanaishi kubaka?


Hapana.


Fanya uchunguzi mdogo sana utagundua hilo, kwa mfano angalia tu hata wakati labda unakuwa haukumbuki kwamba kuna baadhi Wanaume ambao walikuwa wanapata mademu wote yaani wanawabadilisha Mademu wanavyotaka halafu kuna wengine hawapati mademu hata wafanyaje? Haukumbuki hilo? Unafikiri ni kwa nini? Ni kwa nini Wanawake wanatembea na Wanaume wale wale?

Hata Shuleni kuna washikaji waliokuwa wanawabadilisha mademu kama nguo na mademu wanajua wkt kuna washikaji wengine miaka 4 inaisha hawajawahi kupata demu shuleni, na siyo kwamba hawajaribu kutokea mademu, sasa kwa nini?

Yaani wale Wanaume ambao tunawaita vipanga ndiyo wanaowabadilisha Wanawake wote na Wanawake wanalijua hilo lkn bado wanawakubalia? Ni kwa nini?
 
Hakuna ila pigana uingie kwenye 20%, vinginevyo hupati demu!
Unaishi kwa nadharia za kusadikika za kibinadamu au unaishi kwa kumtegemea Mungu.
Kwaio na Mungu nae analijua hilo la themanini kwa ishirini sio?

What goes around always comes around
 
Unaishi kwa nadharia za kusadikika za kibinadamu au unaishi kwa kumtegemea Mungu.
Kwaio na Mungu nae analijua hilo la themanini kwa ishirini sio?

What goes around always comes around


Mungu mnamsingizia mengi sana!
 
Utafiti huu unamashaka

Idadi ya wanawake nimaradufu ya wanaume

Kuoa haukutegemei sifa za ajabu....hata vijijini wanaoana..japo maisha yachini kabisa.

Na wanaoishi bila kuoa wanaume.... Wengi nikuogopa majukumu...maana ajuaye hicho kikombe kukinywa aghalabu ujiandae vinginevo nikukikwepa.
 
Back
Top Bottom