Asilimia 20 ya wanaume wakiamka asubuhi huwa hawatandiki vitanda vyao na
Asilimia 80 ya wanawake huwa wanavaa brazier ambazo hazilandani na ukubwa wa matiti/maziwa yao (wengi wanavaa brazier ndogo ili kubana matiti)
Ila kweli, kutandika kitanda mara kwa mara huchakaza mashuka,
Ndo maana kutokana na uchunguzi uliofanyika Wanawake hununua mashuka mara tatu zaidi ya wanaume at a given time.

Ha ha ha ha ha ha,asubuhi unapenya out of net kama kwenye msitu wa kongo na jioni ukirudi unaangalia wapi panapitika kirahisi kurudi kitandani,HII INAPUNGUZA DISTUBANCE.hata net itatoboka kwa hiyo chomoa chomeka,chomeka chomoa.
Si mnajua ile misumari/bolt ya kwenye kona.