20 % ya wanaume and 80 % ya wanawake

20 % ya wanaume and 80 % ya wanawake

Yaani huo ni mtihani wa taifa aisee.nachukia mimi hadi basi!
O

Mimi niloshindwa zamani za kale, ukiamka unatandika ukitoka kuoga unakaakitandani kucheki mails na Jf ukiamka unatandika tena,unaenda kuoga then breakfast unakaa bed kucheki movie ukimaliza unatandika tenaaaaaa!!!!!!!!!!
 
HA HA HAAAAAAAA kuchimbana asubuhi yote hii jamani!!!!

Sio kutandika tu hata net inasogezwa pembeni ukipata pa kutokea inatosha na jioni unapenya hapo unarudishia net unalala zako!!!!!!!

Kutandika mara nyingi huchakaza mashuka!!!!!!!!
ha ha ha nimechekaje maana mi ndo zangu , wife akisafiri wiki nzima basi net haitolewi hadi atakaporudi ha ha
 
View attachment 104574 images (1).jpg ...JF wangap wametandika vitanda leo?, kufua mashuka, na kufanya usafi vyumbani?
 
O

Mimi niloshindwa zamani za kale, ukiamka unatandika ukitoka kuoga unakaakitandani kucheki mails na Jf ukiamka unatandika tena,unaenda kuoga then breakfast unakaa bed kucheki movie ukimaliza unatandika tenaaaaaa!!!!!!!!!!

Im just assuming hapo hapo choo, sitting room, dining room. ..etc
 
Im just assuming hapo hapo choo, sitting room, dining room. ..etc

kama ulikuwepo mi toothpick,maganda ya chocolate ,box la juice sijui kopo la redbull yote kwenye bedside table..ngoma akirudi mamayeyoo sasa unasemwa kila ukitokea!!!!!!!!!
 
Nikiwaza nisitandike labda kwa sababu nimechelewa, hujikuta nashindwa kuondoka bila ya kutandika.... Haijalishi kuna atakayeingia zaidi yangu au la(hakuna)! Ni kweli tunahesabika maana nimeyaona hata kwa baadhi ya brother wangu.
 
Back
Top Bottom