Mkuu toa neno hawatandiki pachika hatutandiki ryt?Nadhan ni 99.99% hawatandiki.
HA HA HAAAAAAAA kuchimbana asubuhi yote hii jamani!!!!
Sio kutandika tu hata net inasogezwa pembeni ukipata pa kutokea inatosha na jioni unapenya hapo unarudishia net unalala zako!!!!!!!
Kutandika mara nyingi huchakaza mashuka!!!!!!!!
Ila kweli, kutandika kitanda mara kwa mara huchakaza mashuka,
Ndo maana kutokana na uchunguzi uliofanyika Wanawake hununua mashuka mara tatu zaidi ya wanaume at a given time.
REDUCE COSTS, SEMA HAPANA KUTANDIKA OFTEN. 😀😀

mim sitandiki kitanda,kuna mtu akija kufanya usafi uwa ni kazi yake kutandika na kubadilisha
Unaishi gesti kila siku weye?