Matusi ndio lugha kuu ya machokoraa, wewe ni chokoraa huyo 20 % ni chokoraa, hao kili awards ni machokoraa, mnashida, dhiki na hata akili zenu zimerithi umasikini kutoka kwa wazazi wenu na mtawarithisha watoto wenu uchokoraa, unanuka uchokoraa. Huna haja ya kuja kutukana hapa badala yake nendeni mkafanya kazi ili mpunguze uchokoraa kwenye familia na koo zenu, ninyi machokoraa ndio mnatuaibisha hapa tanzania na uchokoraa wenu. Chokoraaa na tuzo za machokoraa.

Umekosa tuzo nini mbona una hasira sana na KILI MUSIC AWARDS?
20% yupo juu kama huwezi vumilia chimba shimo ujifukie
Inakuuma kutoka mtupu bila tuzo wakati 20% kazoa tuzo TANO!
<br />Binafsi namkubali sana 20% kuanzi binti kimanzi mpaka tamaa mbaya ila sio sababu ya kuwaponda wengine bali kuwashauri na kumsihi 20% aendeleze umakini wasinii wa muziki wa kizazi kipya wana matatizo sana... Kuna msanii aliepata mauzo na show kama Mr. Nice yuko wapi leo? Je mnajuwa alipokuwepo 20% jana usiku hata ashindwe kutokea kupokea tuzo zake? Inafahamika kuwa 20% ni TEJA Hivyo bado kuna safari ndefu kwa wanamuziki wetu wa kizazi kipya inawezekana jana alizidisha DOZI
<br />
<br />
Acha uzushi ndugu yangu, 20% yuko location kwa ajiri ya movie yake ambayo itakuwa ya pili. Na kwa taarifa yako, hata movie ile ya kwanza ambayo iko sokoni toka mwaka jana ndo movie inayoongoza kwa mauzo katika historia ya filamu Tanzania. Kawafunika mpaka kima masharobalo kina kanumba, ray na hemed. The guy is focused, hana muda wa kubana pua!
Binafsi namkubali sana 20% kuanzi binti kimanzi mpaka tamaa mbaya ila sio sababu ya kuwaponda wengine bali kuwashauri na kumsihi 20% aendeleze umakini wasinii wa muziki wa kizazi kipya wana matatizo sana... Kuna msanii aliepata mauzo na show kama Mr. Nice yuko wapi leo? Je mnajuwa alipokuwepo 20% jana usiku hata ashindwe kutokea kupokea tuzo zake? Inafahamika kuwa 20% ni TEJA Hivyo bado kuna safari ndefu kwa wanamuziki wetu wa kizazi kipya inawezekana jana alizidisha DOZI
Awards za 20% ni pigo kwa clouds fm hasa kibonde (CCM-uchwara) aliyemletea uchawi mpaka media zingine kama itv walipomnyanyua mzee wa kimanzichana karibu na bungu juu. Congrats 20%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%naona raia walimkamia sana kipindi hiki. Namkubali
Hakuna mtu katika ukoo wangu atakuja kupata tuzo za uchokoraa kama za kili, kwa sababu hakuna mtu anayefanya kazi za kichokoraa, na kama kwako 20% yupo juu jiandae kufuga ukoo wa machokoraa maana watoto wako utawa molds kuwa kama chokoraa 20%