20 Most Influential Young People in Tanzania

3. Constantine Magavilla - Ametumia kipaji chake cha kuandika na kunena ku-influence wananchi zaidi ya milioni 15 wanaotumia viselula

huyu jamaa anainfluence ya nini jamani...eeeh?? au na ww ni shabiki wa............kuwa serious bana...
 
3. Constantine Magavilla - Ametumia kipaji chake cha kuandika na kunena ku-influence wananchi zaidi ya milioni 15 wanaotumia viselula

huyu jamaa anainfluence ya nini jamani...eeeh?? au na ww ni shabiki wa............kuwa serious bana...

Zion, fafanua hapo kwenye dot dot umetuacha njia panda.
 
Zion, fafanua hapo kwenye dot dot umetuacha njia panda.

kaka huyu mwanzilishi wa hii thread sijamuelewa kabisa....ndomana namwambia awe seriuos....unaposema mtu anainfluence yy mwenyewe lazma awe rolemodel ambae hata tabia zake zinajenga jamii esp vijana, ss huyo aliemweka hapo sijui amemweka kiaje....am confused my friend.
 
nadhani hapo umemsahau NAPE, HUYU KIJANA KAICHACHAFYA SANA CCM NA UVCCM NA ANAKUBALIKA
January Makamba mbona umemwacha, muweke MZEE YUSUPH bwana
 
vipi kuhusu kibonde, Ruge na Kusaga?, wapo wale vijana wa the commedy kila kukicha wanatupa misamiati mipya
 
kwanini C.MAGAVILLA na sio KEVIN TWISA.....KEVIN 'kaiinua' TIGO kiasi kwamba hao ZAIN ambao wana huyo MAGAVILLA wakamchukua kwa kujua kuwa influence yake itawanufaisha,sasa unaweza vipi kumtaja MAGAVILLA kwenye viselula ukamsahau TWISA??
na MWAMVITA ni maarufu VODA lakini kuna vijana wengine[WATZ] more influential ndani ya VODAlakini hawapendi kujitoa au kazi zao haziwafanyi watoke kwenye MICHUZI BLOG et al.....
 
Kuna watu wana-rise into the occassion toka wakiwa wadogo. Sasa kama alikuwa teen wewe ukiwa primary school huoni atakuwa bado kijana? Au hujawahi kugongana na maticha wako wa Mlimani na kushangaa kuwa hawazeeki - kumbe walikuwa makinda wakati wanakufundisha primary!

Muhidin Issa alianza kufotoa picha za mitaani in early 1980s kwa hiyo atakuwa over 45....sasa sijui ujana unaanzai wapi na kushia wapi....at 42 unaweza kuwa rais....I will take it that hapo ndio ujana unaishia
 
Hongera sana kwao BUT

  1. in what basis, criteria na factors umetumia kuwa evaluate na kuja na list kama ilivyopangwa.
  2. YOUNG???? Hili neno young lina maana gani au scope yake ikoje? Kama ni umri mbona mtu kama Mohamed Dewji na wengine wengi hawamo wakati kwenye llist hapa kuna watu wanakaribia 50.
 
Kuna watu wana-rise into the occassion toka wakiwa wadogo. Sasa kama alikuwa teen wewe ukiwa primary school huoni atakuwa bado kijana? Au hujawahi kugongana na maticha wako wa Mlimani na kushangaa kuwa hawazeeki - kumbe walikuwa makinda wakati wanakufundisha primary!

Kwahiyo "heading" ya thread in imply nini?

The meaning of the word "Young" does not change with time or personality!
 
watu wananshindwa kutoafautisha-u star na influence
Listi yangu ni
1. Mai Martha wa Jesse-uswazi ndio anayetengeneza trends za kina dada wa kawaida!form staili yake ya nywele to mkorogo! kubali usikubali
2. Ze komedi-hasa Joti na Masanja
3. TMK-
4. Dr Ndodi ingawa sina hakika na umri wake
5. Musa wa Uswazi!
6. Lady Jay dee -yes she is a role model kwa wasichana wanaotaka kuwa wanamuziki/ classic..ana maendeleo
7. Tuli Mwambapa-CRDB-
8. Kelvin Twisa sawa kabisa , amefanya kazi ikaonekana
9. Halima Mdee-Politiki yuko fiti, umri mdogo point kubwa , anajiamini na uelewa wa anachokifanya
10.Zito Kabwe-same as Halima
11.Pastor Safari-good role model to young christians
 
Kuna wauliza maswali ambao majibu yao yameshajibiwa hapo juu katika sehemu napoainisha sababu moja inayopelekea kila mmojawapo kuwa miongini mwa vijana 10 wenye mvuto/ushawishi zaidi nchini. Sasa ngoja nijaribu kujibu maswali mapya yaliyoibuka hapo juu:

Kuhusu huyo Mwanamasoko, naongelea zaidi ushawishi wake katika kuwafikia watu wengi zaidi na zao lao - ZAIN, hapo siongeli VODA au TIGO.

Kuhusiana na suala la umri nimeshakubali hoja, ndio maana kina Michuzi nimeshawatoa kwenye hiyo 10 bora, sina uhakika kuhusu Shigongo.

Kuwahusu hao Ze Komedi, hapo siwezi kupinga, vijana hao wanastahili sana hasa kwenye ushawishi wao wa kubadilia lugha tunayoitumia.
 
12. Maria Sarungi- Compass Communications-kwa mtazamo wangu huyu dada alianza kitambo kufanya production ya vipindi vya TV, very creative. sasa amekuja na Miss Universe-nafikiri watu wanaona inavyofanyika kwa umakini. She knows what she is doing!

Hawa influential young people ingekuwa vizuri kama kungekuwa na catergories Business, Leadership, Media, Artists, Politicians, Community Development...namna hiyo
Nafikiri pia usiangalie sana ukubwa wa jina angalia influence! Hivi ukisema uswazi leo tuna mgeni anaitwa xxx watakuja? kumwangalia? kumsikiliza? au watukuwa wanahitaji maelezo zaidi ya huyo mtu
 
Companero,
Naamini baadhi ya watu uliowaweka kwenye list yako ni watu wanaojulikana na kuaminika kwa maandishi yao pekee. Mmoja wao ni Mzee Mwanakijiji. Najua umetaja moja ya kigezo kuwepo katika list kama kichwa cha habari kinavyo ashiria ni umri. Nachelea kujua umejuajuaje umri wa Mwakijiji na ule wa Invisible kutokana na yale unayo yasoma tu hapa mtandaoni na kwenye magazeti?? Kwani kigezo cha umri umekitilia maanani na wenye umri uliozidi 40 umeamua kuwaondoa.

-- Moja, sijui umetumia feature gani ya search hapa JF na kuweza kupata umri wa huyo anayejiita Invisible.
-- Pili, kwa kigezo cha kumjua mtu kutokana na kusoma mabandiko yake mengi mtandaoni; umri wa huyo Mwanakijiji umeshavuka 40, well, THREAD HII inasema alizaliwa 1953. Basi, kama una vielelezo vingine vyovyote vile kupingana na hili naomba utuwekee.

Ahsante.
 
Tankibovu, ni kweli inabidi tuwaweke katika makundi ila kuna wale ambao mvuto/ushawishi wao unavuka mipaka na kugusa makundi yote - kwa mfano mtu hawezi kusema Obama ana-influence kwenye politics tu kwa kuwa influence yake inagusa mpaka kwenye biashara za Wall Street n.k.

SteveDii, Mwanakijiji yumo humu,atajieleza mwenyewe ila kumbuka ushawishi wake sio kwenye maandishi tu, fuatilia usaili wake na wenye nchi; kuhusu Invisible, nimeshamtoa ila kwa uelewa wangu muasisi wa JF ni kijana mdogo tu na hivyo anastahili kabisa kuwa kwenye kundi hili la 10.
 
I WAS THINKING OF THE SAME THING......Must be the list is only for the most influential young people living in DAR ES SALAAM!


I must be living in a diffrent planet,that boy BASKETBALLER,who plies his trade in the united states is not in the list.I would have thought just by keeping tanzania in the map he should top the list anyway i stand to be corrected
 
bado hujanishawishi mkuu 'kampanero'....!ingawa wewe kama wewe nakukubali sana tena sana KAMA PROF....!(R.I.P).ukifika mtwango tutafutane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom