3. Constantine Magavilla - Ametumia kipaji chake cha kuandika na kunena ku-influence wananchi zaidi ya milioni 15 wanaotumia viselula
huyu jamaa anainfluence ya nini jamani...eeeh?? au na ww ni shabiki wa............kuwa serious bana...
Zion, fafanua hapo kwenye dot dot umetuacha njia panda.
Kuna watu wana-rise into the occassion toka wakiwa wadogo. Sasa kama alikuwa teen wewe ukiwa primary school huoni atakuwa bado kijana? Au hujawahi kugongana na maticha wako wa Mlimani na kushangaa kuwa hawazeeki - kumbe walikuwa makinda wakati wanakufundisha primary!

I must be living in a diffrent planet,that boy BASKETBALLER,who plies his trade in the united states is not in the list.I would have thought just by keeping tanzania in the map he should top the list anyway i stand to be corrected