Hawa wanastahili kuwemo kwenye orodha hiyo kama nao ni vijana:
1. Issa Michuzi - Michuzi Blog
2. Eric Shigongo - Global Publishers
Damn inabidi nifuatilie Tanzania's social scene a bit more, I have only heard of number 2 *a* (since ameirudia hiyo number), 3, 8 and 10.
To be honest I didn't even know they were influential to begin with
Michuzi? No way jose!! He's in his 40s. He's officially an old head. I mean, let's face it...I've been hearing about Michuzi since I was in primary school. He definitely doesn't belong in that list.
Kuna watu wana-rise into the occassion toka wakiwa wadogo. Sasa kama alikuwa teen wewe ukiwa primary school huoni atakuwa bado kijana? Au hujawahi kugongana na maticha wako wa Mlimani na kushangaa kuwa hawazeeki - kumbe walikuwa makinda wakati wanakufundisha primary!
Wewe nilishakuambia mimi nilisoma Olympio bana. Mlimani nilisoma chekechea ile iliyounguaga....unaikumbuka wewe hiyo? I doubt it coz you probably were still in diapers then....Lol
Either way the logic applies. Kuna watu, kama Michael Jackson, wanaanza kuwa influential toka wakiwa teens. Hivyo uliwasikia toka primary.
Mbona wewe haupo mkuu - Kuna familia inabahati hapo - Kijiji Kimoja , Familia moja , Mtoto wa Kaka Na Dada
1. Emelda Mwamwanga - Bang! Magazine
2. Ridhwan Kikwete - UVCCM
3. Constantine Magavilla - ZAIN
4. Zitto Kabwe - CHADEMA
5. Elsie Kanza - State House
6. Yona Maro - Wanabidii Forum
7. Modesta Mahiga -Professional Approach
8. Mwamvita Makamba - VODACOM
9. Professor J - Bongo Flava
10. Mwanakijiji - CCJ/CCK
---------------------------
11. Invisible - JF
12. Issa Michuzi - Michuzi Blog
13. Eric Shigongo - Global Publishers
14. Shyrose Banji - NMB
15. Masudi Kipanya - www.kipanya.co.tz
16. Fina Mango - One Plus Communication
17. Humprey Polepole - Tanzania Youth Coaltion, TYC
18. Jerry Silaa - Naibu Meya, Ilala
19. Lay Jaydee - Machozi Band
20. Kitila Mkumbo - UDSM