Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Mwita Maranya, Mohamed Said, ASHA dii, lara 1 wana mguso wa kipekee JF
I miss him mmmmmhRejao
20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
mkuu mbona hivyo hujasoma source chini au ulitaka niandike source labda tasisi fulani ????Hamna lolote, ndo maana habari zingine mna view tu
Kiranga mbona hayupo? Huyu amefanya watu wengi waanze kuhoji kuhusu uwepo wa mungu!!20 Most influential Jf members
Wakuu leo nimeona nitoe list ya watu wenye ushawishi , kuna muda unaweza ukawa huna cha kuandika au kukoment humu ila unaweza kupitia habari mbalimbali ambazo nyingi zimeandikwa na watu hawa.
Hawa ni baadhi ya watu wenye ushawishi Jf.
1. Mshana Jr
2. Nyani ngabu
3. Matola
4. Eveline salt
5. Heaven on earth
6. Faiza foxy
7. Warumi
8. Bujibuji
9. Miss chagga
10. Luttashobolwa
11. Nifah
12. Clueless14
13. Gentamycine
14. Saint Ivuga
15. linguistics
16. Mzito kabwela
17. Kaka jambazi
18. Mamndenyi
19. Singidadodoma
20. Deo Corleone
Sources: Brain yangu.
Terms and condition applied
Hilo nalo neno nimependa idea yako .Hii tafiti ni batili, wadau hawajashirikishwa. Naomba members muipuuze kabisa.
Tafiti itarudiwa weekend ijayo.
Ni kweli mkuu ndoo maana nikasema baadhi alafu nikasema source my brain.Kiranga mbona hayupo? Huyu amefanya watu wengi waanze kuhoji kuhusu uwepo wa mungu!!