si hauni tag kwenye umbeaMe too...tumepotezana my
[emoji23] [emoji23] ntakushtua usijalisi hauni tag kwenye umbea
true ", mkuuUmri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
hahaa endelea ku smoke weedWangu miaka 16 namfukuza akatafute gheto lake
unazungumzia maswala ya fastjet" unasahau"" kuwa sio kila mtanzania " ni mwenye'' kipato ''cha kati" au hii trd", inawahusu " watu"" wenye'' kipato ''cha kati tu"...siku hizi kuna fasti jeti,umbali sio tatizo….anyway kila mtu analea kivyake hamna rules,for me nitamguide mwanangu mpaka nitakapokua na confidence nimemuacha vizuri,lol
Sawa kabisa mkuu, ila inategemea mtu na mtu pamoja na malezi, nina mfano hai, kuna kijana mmoja alipomaliza shule tu akapata kazi ambayo si mbaya inamuingizia kipato, akaendelea kukaa kwa baba na mama yake, akafanya kazi miaka 10 akiwa bado kwa baba na mama yake, anaponda raha akipata hela wala hajiongezi kufanya jingine lolote la kumsaidia kimaisha yeye ni starehe na wanawake!!! siku ya siku akafukuzwa kazi, baada ya muda akapata vile vi sijui pension au nini, haikua hata hela ya maana, akatumbua weeee mpaka ikaisha, amebaki kuwa mzigo kwa wazazi wake sasa ana approach 40 years hana kwake, ila ana watoto kama 5 hivi kwa wamama tofauti tofauti, hapa nadhani pia wazazi wamechangia coz walivyoona amepata kazi inayomuingizia kipato wangemtoa nyumbani akajitegemee (kwa nia nzuri tu si kumfukuza) asingekua hapo alipo sasa...Kuna Umri kabisa ukifika unaisi mm sihitaji tena kuishi na wazazi na hili linategemeana na mazingira na mfumo uliopo kwa mfano mtu labda alisomea Nursing ikatokea kapata kazi akiwa na miaka 21 hapo si anaweza akaenda akajitegemee na ni mbali na kwao hapo lazima uanze maisha
Mh bado yupo bimkubwa, mwambie mimi ni mtoto wa njeMimi ni last born kwetu, kaka alishahama siku nyingi nilibaki Mimi na bimkubwa tu home sikuwa na wazo la kuhama nyumban, ila siku moja ilikua boxing day bimkubwa aliniambia twende sehemu fulani, tukaenda hadi tegeta tukasimama mbele ya nyumba fulani, kuingia ilikua mpya hakuna mtu nikamuuliza hapa kwa nani akanijibu ni kwako I was like whaat? akajibu yeah it's yours sikuamini tuliporudi home nikaanza kujipanga wiki moja baadae ilikua mwaka mpya nikahamia nikiwa na kitanda changu tu na kuanza maisha ya kujitegemea nikiwa na 24yrs!
Huyo ni bolizozo una watoto afu unakaa kwenu seriously,Sawa kabisa mkuu, ila inategemea mtu na mtu pamoja na malezi, nina mfano hai, kuna kijana mmoja alipomaliza shule tu akapata kazi ambayo si mbaya inamuingizia kipato, akaendelea kukaa kwa baba na mama yake, akafanya kazi miaka 10 akiwa bado kwa baba na mama yake, anaponda raha akipata hela wala hajiongezi kufanya jingine lolote la kumsaidia kimaisha yeye ni starehe na wanawake!!! siku ya siku akafukuzwa kazi, baada ya muda akapata vile vi sijui pension au nini, haikua hata hela ya maana, akatumbua weeee mpaka ikaisha, amebaki kuwa mzigo kwa wazazi wake sasa ana approach 40 years hana kwake, ila ana watoto kama 5 hivi kwa wamama tofauti tofauti, hapa nadhani pia wazazi wamechangia coz walivyoona amepata kazi inayomuingizia kipato wangemtoa nyumbani akajitegemee (kwa nia nzuri tu si kumfukuza) asingekua hapo alipo sasa...
Wewe njia yako ni tofauti, chukulia kwa normal people ambao wanasoma na kukaa nyumbani na kuajiriwa wakiwa mkoa huu huu sio mikoa ya njeMimi binafsi siafiki suala zima la kulea mtoto wa miaka 20-28 kama mtoa mada anavyosema.
At 20 nilishaondoka nyumbani na kwenda kuangalia upande mwingine wa maisha nilikwenda Jkt baada ya kutoka Jkt sikutulia nyumbani, niliondoka kwenda kufanya shughuli zangu Dodoma, nilitafuta pesa ya kujisomesha, nikarudi shule.
Kama kawaida sasa hivi nina 23 nipo mwaka wa pili, ninasubiri kumaliza chuo nijitose tena mtaani, hapa nilipo nipo getto nina shilingi 1400 na wala sina stress.
Ninachoweza kusema maisha ya kujitegemea ni mazuri kwa kuwa yanakupa experience ambayo huwezi kuipata popote ni mpaka uiishi.
Kweli mkuu ata mimi nilipata kisehemu kidogo nilikuwa nafanya wakati huo nilkuwa na Umri wa miaka 22 home tumebaki mimi na mama tu kuama ndo ikawa issue anakataa nayo mazingira yanachangia sana na akili ya mtu piaSawa kabisa mkuu, ila inategemea mtu na mtu pamoja na malezi, nina mfano hai, kuna kijana mmoja alipomaliza shule tu akapata kazi ambayo si mbaya inamuingizia kipato, akaendelea kukaa kwa baba na mama yake, akafanya kazi miaka 10 akiwa bado kwa baba na mama yake, anaponda raha akipata hela wala hajiongezi kufanya jingine lolote la kumsaidia kimaisha yeye ni starehe na wanawake!!! siku ya siku akafukuzwa kazi, baada ya muda akapata vile vi sijui pension au nini, haikua hata hela ya maana, akatumbua weeee mpaka ikaisha, amebaki kuwa mzigo kwa wazazi wake sasa ana approach 40 years hana kwake, ila ana watoto kama 5 hivi kwa wamama tofauti tofauti, hapa nadhani pia wazazi wamechangia coz walivyoona amepata kazi inayomuingizia kipato wangemtoa nyumbani akajitegemee (kwa nia nzuri tu si kumfukuza) asingekua hapo alipo sasa...
Ndio maana nikasema kuwa hilo jambo si sawa, chukulia mtoto anasoma anakaa nyumbani form one up to form 6 then chuo anasomea nyumbani pia, akimaliza eti anasubiri kazi akiwa nyumbani kisa mtoto kwa mzazi hakui.Wewe njia yako ni tofauti, chukulia kwa normal people ambao wanasoma na kukaa nyumbani na kuajiriwa wakiwa mkoa huu huu sio mikoa ya nje
Kwa mtoto wa kiume, ukikaa home hutakiwi kuomba pesa kwa baba au mama, sana sana unatakiwa uchangie kidogo hapa na pale, mtoto wa kike haijalishi maana km uko home ni jukumu la baba na mama yake, ila mwanaume unatakiwa uhustle mambo ya kuombaomba kwa mama ni dharauNdio maana nikasema kuwa hilo jambo si sawa, chukulia mtoto anasoma anakaa nyumbani form one up to form 6 then chuo anasomea nyumbani pia, akimaliza eti anasubiri kazi akiwa nyumbani kisa mtoto kwa mzazi hakui.
Nakuhakikishia wa hivyo hata kama mzazi amfundishe vipi maisha akitoka nje ana asilimia kubwa za kutetereka.
Maisha ni vitendo sio nadharia, kuna mambo huwezi ukaelewa mpaka uyaishi.
Nimekutolea mfano wa balance yangu niliyonayo kukuonesha kuwa hali yangu ya kimaisha wala hainisababisha niyumbe kwenye malengo yangu.
Ila watoto wengi waliolelewa nyumbani sana wengi wao
Hawajalala njaa hata siku moja.
Vocha wanaomba kwa mama
Gari ya baba
Mafuta mama aweke.
Nguo afue house girl.
Akitaka kwenda mahali mpaka ruhusa kwa mama.
Mtu kama huyo siku akishikwa na njaa anaweza fanya lolote la ajabu maana hajawahi vumilia.
Ndio matokeo yake mtoto hawezi kufanya maamuzi pasi na ushauri wa mama, kidogo tu mama nifanyeje, guidance ni nzuri ila kwa kijana wa umri kuvuka 20 isipite kiasi.
Utakuwa upo ulaya eeh! fasjet mimi mtu wa Tabora baba yangu anaishi Mtwara twaijulia wapi yakhe.siku hizi kuna fasti jeti,umbali sio tatizo….anyway kila mtu analea kivyake hamna rules,for me nitamguide mwanangu mpaka nitakapokua na confidence nimemuacha vizuri,lol