20-28 years....

Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
ntapinga hadi kiama hili 18 hakuna ajuacho cha maana hata uwezo wa kufikiri uko chini sana

Kidg kuanzia 25 napo badooo siungi mkono 100%
 
ntapinga hadi kiama hili 18 hakuna ajuacho cha maana hata uwezo wa kufikiri uko chini sana

Kidg kuanzia 25 napo badooo siungi mkono 100%
Dah at 23 tayari nilishaanza kusota kivyangu miaka kibao na sasa najiona mtu mzima kumbe bado kabisa!! Kuondokewa wazazi mapema inauma sana na ni vingi sana nimevikosa...
 
Kila kitu kinahitaji total commitment, huwezi kuanza kujitegemea pasipo kuwa tayari kulala njaa siku mojamoja au kuwa tayari kufuta mawazo ya kutegemea kila kitu kutoka kwa ndg au wazazi, so kutaka kuendelea kulelewa ukiwa na umri wa kuanzia miaka 20 to 28 aisee unajitengenezea mazingira magumu sana hasa pale utakapoanza kujitegemea mwenyewe, life is all about experience so ili uweze kujitegemea anza kutengeneza mazingira hayo ya kujitegemea, we unawaza kujitegemea ili hali hadi ela ya vocha unawaomba wazazi halafu hapo una umri huo wa 20 to 28???!!!

Wazazi part yao katika umri huo ni kukushauri juu ya baadhi tu maamuzi unayoyafanya wewe kwa manufaa ya kesho yako ila siyo vema kusupport kulea mtu wa 20 to 28, huo ndo muda wake wa kujifunza mengi coz maamuzi yake ndiyo yatakayo mtengenezea mazingira ya kesho, umeishi na wazazi wako mpaka umri huo hujapaelewa tu chochote kuhusu maisha?? your mum and your dad katika mahusiano hakuna uliyoyashuhudia kwa upande wa mahusiano?? Ok na vp kuhusu maisha uliyoishi kwenu tokea udogoni mpaka umri huo hakuna uliojifunza kweli??

Siri ya maisha ni simple tu KUJITAMBUA na KUJITAMBUA hakuangalii umri ukishaandaa akili kwa kutambua kipi sahihi na kipi siyo sahihi piga ua garagaza!! Nakuhakikishia utatoboa tu, ila usipojitambua utabaki kulalamika na kulalamikia wazazi mpaka siku unaoa au kuolewa.

Kuwa tayari kwa lolote (flexibility) kubali matokeo then fanya maamuzi kwa nia dhabiti am sure!! utalala njaa leo ila kesho utakula na kusaza kwa kuexperince tu hiyo situation.

Kuna watoto wanaolea familia zao na hata umri huo hawajafika wewe umemaliza chuo unataka uendelee kulelewa Kweeeelii??? Elimu yako imekusaidia nn sasa??
Maamuzi na KUJITAMBUA ndo dili UMRI NAMBA UKUBWA HEKIMA!!

Nawasilisha!!
 
Ndivyo jamii inavyoandaa AVERAGE PEOPLE
 

Mnhhh Sijui km umeielewa masa hi
 
Mi dingilii ananiuliza kuhusu matumizi ya kondom nikiwa form 2, ananihusia mwanangu tumia kondom siku zote ukipiga gem
 
Dah at 23 tayari nilishaanza kusota kivyangu miaka kibao na sasa najiona mtu mzima kumbe bado kabisa!! Kuondokewa wazazi mapema inauma sana na ni vingi sana nimevikosa...
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…