Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
Mmmh kwa hiyo hata wanao pia umewabebea maboxes ya condom??
Btw 25+ huyo yuko mkubwa kiakili labda Kiazi tu kushindwa kung’amua mambo!
Mwenye miaka 18 anaweza ku-reason vizuri kama mwenye 28?Umri kuanzia 18 we ni mtu mzima na una uwezo mzuri wa kureason, but kama bado unategemea kila kitu hajui namna ya kujiongeza my dear subiri duniani ije ikucoach vizuri maana unapata taabu sana!!
Kama wanaishi mbali na ulipo...Binafsi I would prefer watoto wangu wajiandae kuhama nyumbani wakishatoa posa kwa wachumba wao na tarehe ya harusi imeshapangwa.
Baada ya harusi wakishatoka honeymoon ndo wahamie kwao waanze maisha mapya.
Mtoto hakui kwa mzazi wake. I would love to have my cubs with me and I will hold on to them as long as I can InshaAllah.
Binafsi I would prefer watoto wangu wajiandae kuhama nyumbani wakishatoa posa kwa wachumba wao na tarehe ya harusi imeshapangwa.
Baada ya harusi wakishatoka honeymoon ndo wahamie kwao waanze maisha mapya.
Mtoto hakui kwa mzazi wake. I would love to have my cubs with me and I will hold on to them as long as I can InshaAllah.
Kama wanaishi mbali na ulipo...
Mfano unakaa Dar.. mwanao kapata kazi Tabora...huko ataishi mwenyewe.
binafsi nilitoka nyumbani kwa namna hiyo... baada ya chuo sikurudi nyumbani nikirudi kusalimia tu.