Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,260
- 11,078
Hawawezi kuwapata kwani ni kikundi hewa tu kila mtu anakisikia tu.Huyo msemaji wao aliyesema wao ndio wanaohusika anaitwa Abu QAQA amekaaje?.Marekani wamesema watatoa msaada kwa Nigeria kupambana na Boko Harama lakini wakiambiwa wawatafute kulwaeta mezani kwa mazungumzo ili yaishe watachukia na kuona kitumbua chao kimetiwa mchanga.Whats wrong of these people Boko Haram? I think is the time now for Nigerian GVT to call for the table discussions with this group.Otherwise we will continuing to hear and to see more and more massacre...