2 Nigeria Churches Bombed On Christmas Day

Whats wrong of these people Boko Haram? I think is the time now for Nigerian GVT to call for the table discussions with this group.Otherwise we will continuing to hear and to see more and more massacre...
Hawawezi kuwapata kwani ni kikundi hewa tu kila mtu anakisikia tu.Huyo msemaji wao aliyesema wao ndio wanaohusika anaitwa Abu QAQA amekaaje?.Marekani wamesema watatoa msaada kwa Nigeria kupambana na Boko Harama lakini wakiambiwa wawatafute kulwaeta mezani kwa mazungumzo ili yaishe watachukia na kuona kitumbua chao kimetiwa mchanga.
 
this is a crazy crusade... ; na vita vya namna hii aghlabu huwa havina mshindi; sana sana nigeria isubiri kufutika katika ramani ya dunia kama taifa
 
this is a crazy crusade... ; na vita vya namna hii aghlabu huwa havina mshindi; sana sana nigeria isubiri kufutika katika ramani ya dunia kama taifa
Macho ya mafisadi wa dunia ni makali sana kuona kila kona ambako fitna zao zitazaa faida waitakayo.Ukienda huko Nigeria suala la majimbo kujitawala kisharia limeudhi sana ikawa wanatafuta mbinu kusambaratisha.Ushindi wa Jonathan ni wa mashaka lakini amekalia kiti ili kazi iwe rahisi.Mara nyingi mafisadi hao hawapendi kulieleza tatizo kwamba lipo jimbo la Jos au Yobe peke yake.Tunaelezwa kwamba wafuasi wa Boko Harama wako katika nchi za jirani hasa Chad,hivyo maraisi wa nchi zote zinazoizunguka Nigeria wana kazi moja ya kupambana na Boko Haram.Katika majeshi yao kuna washauri tele kutoka CIA ambao kazi yao ni uchochezi zaidi kuliko ushauri.
Hali ya Nigeria inafanana na ya Afrika Mashariki na kati sasa.Nchi zote zilizojirani na Somalia zina kazi za kupambana na kuwawinda Alshabaab ambao kiuhalisia hawapo.Hakuna Alshabaab anayeweza kutoka Somalia akafuata meli kubwa za kibiashara maeneo ya Mafia ili waiteke na kuipeleka Somalia.Kinachoshangaza akina Shamsi Nahoda Vuai bila haya wamekazana kutekeleza na kuunda mikakati pamoja na kutoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya vitendo vya Alshabaab.

Hawa Alshabaab kama wangekuwa wapo ni watu wazima na wenye akili.Huwa wanafuatilia matukio kwa kusikia katika vyombo vya habari na wanajuwa kwamba eneo lote la Afrika Mashariki lina meli za kivita ya mataifa ya kikrusedi na hata China na Urusi.Watakuwa ni wajinga na mazuzu kiasi gani waje kuteka meli Mafia eti halafu waipeleke Somalia!.Kumbuka kwamba wiki chache kabla ya tukio hilo hapa JF kulikuwa na thread iliyoeleza kuwepo kwa maharamia wa kisomali maeneo ya Mbezi.Watu wazima kama sisi ambao hatunywi kibuku huwezi kutuzuga kiasi hicho na mtiririko wa matukio.
Iwapo Ethiopia,Djibout,Kenya na Tanzania kwa namna yake zimeamua kuendeleza krusedi eneo la Afrika Mashariki kwa niaba ya miamba ya dunia Israel,Marekani,France na UK fanyeni tu lakini msisingizie Alshabaab.Hakuna kitakachowajulisha kuwa kinachofanyika ni ufisadi katika dunia uovu na dhulma isipokuwa ni hukumu ya Allaha tu.Katika hali kama hii watu wema ni wajibu wao kuoma kwa Mungu hiyo adhabu ije na iwaadhibu wenye kusimamia hayo mambo.Kwa upande wangu bila kujua hadhi yangu kwake naomba kwa dhati moyoni hiyo adhabu ishuke na kuwaadhibu pamoja na kuwafedhehesha viongozi wote wenye maamuzi katika nchi za Afrika Mashariki na kati wanaojitia kupambana na Alshabaab.Adhabu kama hiyo na ziada iwashukie wenzao wa Afrika Magharibi.Adhabu kali zaidi iwaangukie viongozi wa Mashariki ya kati na wa Pakistan----AAMIN.
 
Duh Ami mtazamo wako unawalakini...mbona una-sympathize sana na hao magaidi?
 
Back
Top Bottom