2 Nigeria Churches Bombed On Christmas Day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2 Nigeria Churches Bombed On Christmas Day

Discussion in 'International Forum' started by Mwanaukweli, Dec 25, 2011.

 1. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
  An explosion last night ripped through a Catholic church during Christmas Mass near Nigeria's capital, killing at least 28 people.

  Boko Haram, a radical Muslim sect waging an increasingly sophisticated sectarian fight claimed the attack and another bombing in the restive city of Jos, as explosions also struck the nation's northeast.

  Three more explosions were reported early today including two yesterday in the city of Damaturu and another targeting a church on Christmas Eve in Gadaka.

  The explosions come amid a wave of attacks in Nigeria by Boko Haram, which has been blamed for at least 465 killings this year alone. Last year a series of Christmas Eve bombings in Jos that were claimed by the militants killed at least 32 people and wounded 74.

  The first explosion struck St Theresa Catholic Church in Madalla, a town in Niger state close to the capital, Abuja. Rescue workers recovered at least 25 bodies from the church and officials continued to tally the wounded, who were taken to various hospitals.


  Nigeria's National Emergency Management Agency acknowledged it didn't have enough ambulances to help the wounded.

  Agency co-ordinator Slaku Luguard said an angry crowd which gathered at the blast site hampered rescue efforts as they refused to allow rescue workers inside.

  "We're trying to calm the situation," he said.

  "There are some angry people around trying to cause problems."

  In Jos, a second explosion struck near a church of the Mountain of Fire and Miracles Ministries.

  A government spokesman said gunmen later opened fire on police guarding the area, wounding an officer. Two other locally made explosives were found in a nearby building and disarmed, he said.

  "The military are here on ground and have taken control over the entire place."

  After the bombings, a Boko Haram spokesman using the nom de guerre Abul-Qaqa claimed responsibility for the attacks in an interview with The Daily Trust, the newspaper of record across Nigeria's Muslim north. The sect has used the newspaper in the past to communicate with public.

  The city of Jos is located on the dividing line between Nigeria's predominantly Christian south and Muslim north.

  Thousands have died in communal clashes there over the last decade.

  Several days of fighting in the northeast between the sect and security forces had already killed at least 61 people, authorities said.

  In the last year, Boko Haram has carried out increasingly bloody attacks in its campaign to implement strict sharia across Nigeria, a nation of more than 160 million people.

  Boko Haram claimed responsibility for a November 4 attack on Damaturu, Yobe state's capital, that killed more than 100 people.

  The group also claimed the August 24 suicide car bombing of the UN headquarters in Nigeria's capital that killed 24 people and wounded 116 others.

  AP
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yes hakai kwenye majengo ,ni moyoni.
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  tumuombe mungu awasamehe kwani hawajui walitendalo.Amen.
   
 4. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  ABUJA (Reuters)

  Islamist militants set off bombs across Nigeria on Christmas Day - three targeting churches including one that killed at least 27 people - raising fears that they are trying to ignite sectarian civil war.

  The Boko Haram Islamist sect, which aims to impose sharia law across the country, claimed responsibility for the three church bombs, the second Christmas in a row the group has caused mass carnage with deadly bombings of churches.

  Security forces also blamed the sect for two other blasts in the north. ...
   
 5. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  yaani lengo la mauaji yote hayo ni kutaka sharia itumike maeneo hayo? ina maana wamefuata maandiko ya hivyo vitabu vyao vitakatifu kutumia njia ya mauaji ili kushinikiza serikali itimize matakwa yao? kama ni kweli maandiko ya vitabu vyao yanaruhusu kutumia njia hata za mauaji ili kushinikiza tu sheria fulani fulani zitumike ktk eneo fulani wakati wanajua kuwa hapo kuna waumini wenye imani tofauti za dini basi naanza kupata mashaka.Mashaka yangu ni kuwa Mungu anayeabudiwa na boko haram atakuwa yuko tofauti na Mungu anayeabudiwa na hao wengine.

  Naamini kuwa Mungu wa kweli hana visasi na wala hahitaji mauaji yatumike ktk kulieneza neno lake.Hivyo basi kati ya makundi hayo mawili kuna moja linamtumikia mungu wa uongo yaani shetani na lingine linamtumikia Mungu wa kweli.
   
 6. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Na utaeleza nini kuhusu Islamic Court Union (ICU) kule Somalia ambao walitaka sharia itumike na kwao hata hayo makanisa hakuna.Nini kilipelekea Ethiopia na Sasa Kenya kuingia huko kuzuia uwezekano wa kuwa na sharia Laaw.
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kabla kuja kwenye maandiko juu ya Mungu gani anayeruhusu mauwaji bado hujajibu suali.Kule Somalia ushahidi gani ulitumika kuwajua na kuwatetea wasiotaka?.Ukija Tanzania waislamu wote wanataka mahakama ya kadhi na OIC kwanini makanisa yanashinikiza visiwepo?.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Dec 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  jibu la hili nenda post ya mahakama ya kadhi limeshajibiwa huko.
   
 9. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #9
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mnaoshabikia Mahakama za Kadhi hamjui mtendalo!
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nigeria nao walianza hivi hivi! Mara Mahakama za Kadhi, mara OIC, mara Sharia, kinachofuata ni kulipua Makanisa! Tanzania tujifunze toka Somalia na Nigeria! Waislamu hawapendi kuona Wakristo wanapumua! Dawa yao ni kutoingiza mambo ya dini yao kwenye Serikali, only that! Hiyo Mahakama waianzishe na kuigharamia wenyewe! OIC wajiunge BAKWATA! As simple as that!
   
 11. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #11
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kila post na mambo yake, kama limeshajibiwa, Je, walioanzisha na waliochangia mjadala ni wale wale?
   
 12. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #12
  Dec 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Makanisa hayashinikizi mahakama ya kadhi kutokuwepo, BALI MAHAKAMA HIYO IANZISHWE NA WAISLAMU WENYEWE NA SI SERIKALI.
   
 13. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #13
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  sijajibu swali gani? Kule Somalia kama serikali yao na al shaabab wangekuwa na msimamo wa aina moja kuhusu sharia nadhani ingekuwa tayari inatumika huko.Lkn wanatofautiana ndo maana wengine wanatumia njia haramu kulazimisha jambo hilo.


  pia kumbuka kuwa nimeuliza credibility ya huyo mungu anayeruhusu mauaji ili kushinikiza kuenezwa kwa neno lake na sijazungumzia credibility ya Mungu wa waislamu wote duniani maana naamini kuwa sio wote wenye mitazamo ya ki al qaeda,boko haram au al shaabab.Waislamu wa Tz wanatumia njia za kistaarabu ktk kudai mahakama yao na hilo sina tatizo nalo.Lkn kama kuna Muislamu yeyote ambaye anasapoti vitendo vinavyofanywa na hao kina boko haram basi naye hana tofauti nao na natilia mashaka kama anaamini ktk Mungu wa kweli au shetani.nalog off!
   
 14. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #14
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  You are spot on. Sijui kwa nini kuna dhana potofu kwamba makanisa hayataki mahakama ya Kadhi. Sio kweli anzisheni mahakama ya Kadhi bila pesa kutoka serikalini na hili waisalaam wanaliweza sana. Lakini hili la Boko Haram linatia hofu. Leo Nigeria, Kesho Gabo, Keshokutwa Tanzania!
   
 15. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #15
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ajabu ya pesa kutoka serikalini iko wapi?.Mbona pesa inatoka huko huko kugharamia mashule na mahospitali ya wakristo?.
  Waislamu ni werevu zaidi kujua chao na kutafuta njia za kupunguza gharama ya jambo.Kwanini tulazimike kuanzisha kwa gharama zetu zote wakati pesa tunayolipia kodi iko hazina na inatumiwa na makanisa?.
   
 16. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #16
  Dec 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mahakama ya Kadhi ni Ibada, wafuasi wa Muhammad ndio wanahusika nayo! Tatizo kuu kuliko yote la Mahakama ya Kadhi ni Usalama wa nchi yetu! Tukiiruhusu hii kitu tumejitakia kansa ya kudumu kama wanavyolia huko Nigeria!
   
 17. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #17
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nigeria ni kampeni tu ionekane wakristo wanalia ili kutia hofu maeneo mengine kama Tanzania.Hizi propaganda zenu sasa tumezizoea.Boko Haram si iliuliwa mwaka juzi pamoja na kiongozi wao!.Sasa wamepata wapi nguvu hiyo ya kuripua makanisa yote hayo tena siku ya krismas.Alqaeda nayo kiongozi wao na flashdisk zao zote vilishamalizwa sasa matawi yaliyoko Somalia nani anayeyaanzisha?.
   
 18. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #18
  Dec 26, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hawa boko haram nilifikiri walishafutika? kumbe bado tu wapo?
   
 19. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #19
  Dec 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Haikuwa makanisa mawili tu, ni zaidi.Leo US,UK na Vatican wanatoa pole na kuahidi kutoa msaada kwa Nigeria kuwapata wahalifu.Lazima wanajua nini kinatokea.Walikuwa wapi watu walipokufa Tanzania kwa mafuriko juzi?.
   
 20. only83

  only83 JF-Expert Member

  #20
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Whats wrong of these people Boko Haram? I think is the time now for Nigerian GVT to call for the table discussions with this group.Otherwise we will continuing to hear and to see more and more massacre...
   
Loading...