Kuna Xbox 360 zimechipiwa,zina games zaidi ya tano ndani,zina pad Moja moja,cables na adaptors, machine hazina tatizo lolote na naziuza kwa bei ya kutupa 260k kila moja,no 0658327429,nipo DSM vingunguti.
xbox 360 inaendana na ps3 exactly kila kitu,xbox 1 inaendana na ps4,xbox consoles ni imara zaidi na zina toa picture ktk quality ya 1080p,wkt mpinzan wake ps3 huwa anashuka mpk 720p,vifaa kama controllers za xbox ni ghali lkn vinadumu muda mrefu,kiufupi xbox ni roho ya paka na ni mbadala wa ps3.