Eliamini
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 604
- 728
wakuu habari ya wikiendi kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina hitaji machine ya kuchezea games ( console) jina la machine ni xbox 360 na iwe na sifa zifuatazo iwe na pad zake 2, iwe na cable ya HDMI, iwe imechipiwa(hacked) na iwe na baadhi ya games ndani. offer yangu ni laki tatu(300,000) kwa mawasiliano zaidi 0719791520