2+2=??

2+2=??

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Duh huyu anajua kucopy

attachment.php
 
Attachments

  • 1392233783576.jpg
    1392233783576.jpg
    35.1 KB · Views: 565
Ukiangalia picha vizuri ndio utagundua mtoto amedesa kama ilivyo toka kwa rafiki zake. wamemuonesha vidole vinne naye amechora kama kiganja cha rafikiye kinavyoonekana. hapo ndipo nilipocheka yaani hakujiongeza kutafsiri kile anachooneshwa na wenzake kiwe kwenye tarakimu yeye akachora anavyoona.
Kweli kabisa kiongozi.Hii inatokana na mafunzo aliyopata.Vidole viwili + vidole viwili = na vidole vinne.
 
Ukiangalia picha vizuri ndio utagundua mtoto amedesa kama ilivyo toka kwa rafiki zake. wamemuonesha vidole vinne naye amechora kama kiganja cha rafikiye kinavyoonekana. hapo ndipo nilipocheka yaani hakujiongeza kutafsiri kile anachooneshwa na wenzake kiwe kwenye tarakimu yeye akachora anavyoona.

Ataumizaje akili yake mkuu na jibu kashapata
 
Amekosa kipaji cha hesabu kapewa cha uchoraji
 
Ukiangalia picha vizuri ndio utagundua mtoto amedesa kama ilivyo toka kwa rafiki zake. wamemuonesha vidole vinne naye amechora kama kiganja cha rafikiye kinavyoonekana. hapo ndipo nilipocheka yaani hakujiongeza kutafsiri kile anachooneshwa na wenzake kiwe kwenye tarakimu yeye akachora anavyoona.

Asante sana kiongozi,.Tafsiri yako ya hii picha ni bora na ya kufurahisha.
Asante.
 
ndiyo najua ila limwalimu likubwa hivyo ningekimbia

umenikumbusha wakati nipo mtoto, si unajua usafiri wa vijijini ulikuwa ni baiskeli, siku moja nikaugua na wadogo zangu, zikatafutwa baiskeli zitupeleke wilayani kutibiwa, jamaa mmoja alikuwa mrefu balaa nikapangiwa anibebe, nilikataa kupanda baiskeli yake kisa mrefu sana.
 
Hahaha
 
ha ha ha ha ulikuwa kaksi sana wewe ... Mgonjwa mbishi
 
Back
Top Bottom