1kz-te engine inauzwa

1kz-te engine inauzwa

wakuu nauza injini ya 1kz-te, haina tatizo iko kwenye toyota hiace super custom. sababu ya kuuza nataka niifanye hiyo hiace kuwa daladala na hiyo injini ya 1kz ni kubwa ina turbo haifai kwa daladala kibiashara.
Kamanda hii kitu bado ipo?
 
Back
Top Bottom