salam
nambeni msaawa tofauti yabo wa engine aina ya 1G na vvti,zinazotumika kwenye gx 100, ipo nibora kwa ujumla,thnx
Mkuu t blj kuna mdau hapo juu kasema kuwa hizi VVTi ndani ya mwaka mmoja engine lazima isumbue naomba unisaidie na mimi hapo,tatizo la hizo engine ni nini compared to 1G!To the best of my knowledge! !! 1g ni engine model, vvti, ni moja ya valve techonology, 1 g iko tokea miaka ya tisini , mtiririko wake kama sikosei uko hivi...
1g twelve valve, early 90's
1g 24 valve , mid to late 90's
1g vvt-i early model
1g vvtl-i (beam 2000)
Nadhani swali lako lilikuwa kutaka kujua valve techonology ipi katika 1g engine ni nzuri... mi nadhani beam 2000 ( vvtl-i)ni nzuri kuliko zote.
Kiukweli vvt-i ina-consume mafuta kwa kiasi kidogo compared na 1g lakini sio kwa tofauti kubwa sana, simple calculation kwenye safari ya mafuta ya buku 10 kwa 1g basi vvti ni kama buku 9 - up to 8.5
lakini ukija kwenye engine imara kuliko basi 1g ni funika bovu, hii unaweza kutumia ww mpaka wajukuu wako. Mostly gari zenye engine ya 1g kwa mfano mark gx 100 huwa zinadumu sana kuliko vvti-hizi huwezi kukaa nazo mwaka bila engine kusumbua
salam
nambeni msaawa tofauti yabo wa engine aina ya 1G na vvti,zinazotumika kwenye gx 100, ipo nibora kwa ujumla,thnx
1G ni roho ya paka yaani inahimili mikiki sana vvti 2000 BEAM ni nzuri sana ila umeme mwingi sana inatumia