1995 - 2017 RIP Wanamtandao wa CCM

Wewe una genye Chadema wanandugu yao pale bandar au airport kwamba tutapitisha dawa kama walivyo SSM? Kachambe kwanza kabla hujaitaja Chadema mbweha weye!
 
As

Asante mkuu. JK ni masta acha kabisa
Aliwazidi wenzake kwa mbali,, na kosa lingine la Lowassa ni kushindwa kutoka CCM na kupambana na JK MWAKA 2010,,,,
Bado aliendelea kuamini kiinimacho cha JK kwamba atampa nafasi kumbe haikuwa. Kosa kubwa sana
 
Je utaweza kuyathibitisha haya maneno yako ukiwa mahakamani au ndio upayukaji wa usiyoyajua?
So kila kitu ni "mahakama material" Hivi ikitokea ukamkuta mmoja wa wazazi wako anachepuka unamwambia mwingine kwa vile ni ukweli? So kila ukweli unawekwa hadharani ingawa unaweza kuwa unajulikana kwa wote!
 
Mkuu 2017 ukaweka maono ya 2025
 
Na ndo mwisho mpaka Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…