1995 - 2017 RIP Wanamtandao wa CCM

Mtandao unahamia CDM, uchaguzi ujao wa CDM kwa mara ya kwanza utakuwa na umafia wa hatari, unafurahia kuwa na watu aina ya kina Makongoro Mahanga, Mgeja au EL, hawa ni mafia waliobobea, ndani ya CDM wengi wenye maana wataumizwa sana na huu mtandao.
 
Haha haha haha haha hahhahahhah hahahhah

Makonda wapi

Lizaboni na taka zungine



Swissme
 
Alichofanya Mwenyekiti ni kuweka mtandao wake. Kawapiga wapinzani ikiwa ni maandalizi ya 2020. Ila by 2025, huo ''mtandao'' aliousambaritisha utakuwa umeshajikusanya na kufanya yao. Mitandao ndani ya chama haiwezi kufyekwa kirahisi namna hiyo. Hata waliobaki wataendeleza chini kwa chini, ambayo ni hatari zaidi.
 
Una ushahidi?
 
Mtandao upi umeondoka au imeongezeka kuna mtandao wa kikwete sana ridhiwani membe na nape upo mtandao wa January Mwigulu kingwangwala na January Makamba na mpina na kinana halafu mtandao uchwara wa magufuli ngwale dialo bulembo makonda Bashite my eti Gambo wewe vipi
 
Hivi lile lengo la mwenyekiti la kutopingwa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea wa nafasi ya urais ndani ya CCM ifikapo 2020 lilifanikiwa kupitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu?
 
Kwa maamuzi ya mkutano mkuu CCM imeonyesha wanachama wako makini katika kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM
Umakini ni kumuunga mkono Mwenyekiti? Hahahahaha kazi mnayo, J atawaharibia chama, mmeona kipigo cha mbwa mwizi cha 7-0?? Ni salamu tu zile
 
Kinachofanyika ni kuuwa mitandao iliyopita na kujenga mipya, sasa naona hii mipya inajengwa kikanda zaidi, na kanda nyingine zitakapoungana itakuwa rahisi kudondosha mbuyu, mana nauona mizizi take haijaenda sana chini na ile ya chini imeanza kuoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…