1979-1989Degree ya kwanza ya Mh Memba UDSM

1979-1989Degree ya kwanza ya Mh Memba UDSM

Zamani Degree walikuwa wanasoma miaka mingapi???
Kwanini swiswiemu inampa kiki Mh Member HV?
Membe nimesoma naye first degree Mlimali 1981-1984. Tumegraduate siku moja Bachelor of Arts General (Political Science and International Relations).
 
Ndugu hiyo ndo tabia ya wapelelezi Kuna watu wameanza zaman tangu wakiwa shulen au chuo , sisi Kuna jamaa 1 tulimkuta tukaanza naye mwaka wa 1 chuo, tukamaliza bado anaendelea kusoma. Taarifa niliyopata yule jamaa alikuwa ni mpelelezi
 
Back
Top Bottom