1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

Mimi sijaelewa, kitu gani kinachofanya watu wabishe hivi, kitu ambacho hata china anakifanya kwa sasa but kinaongelewa kama big issue kwa US? Mbona hata urusi anapeleka vyombo huko!

China yazindua mpango wa kusafiri kwenda sehemu ya mbali zaidi mwezini - JamiiForums

Kumbuka tunamuongelea US ambaye juzi amefanya succesful trip to mars, chombo kimetembea miezi sita hewani hadi mars. Sasa leo tunaongelea ya mwezini wakai wenzetu kwa sasa wanafikilia watafika vipi pluto hulo🤔🤔
 
Marekani walidanganya ulimwenguni kwa sababu za kisiasa juzi tu hapo NASA wenyewe wamekiri kuwa bado mpaka leo hii hawana uwezo wa kupenya kwenye ukanda wa joto kali uitwao VAN ALLEN BELT
Watu washatuma vifaa mars zaidi ya Mara tatu wewe unadanganya watu hapa eti NASA wamesema hawana uwezo kuvuka van Allen belt. Unadhani unafikaje kwenye mars bila kwanza kuivuka hio belt.
 
Watu washatuma vifaa mars zaidi ya Mara tatu wewe unadanganya watu hapa eti NASA wamesema hawana uwezo kuvuka van Allen belt. Unadhani unafikaje kwenye mars bila kwanza kuivuka hio belt.
Unethibitishaje kama hizo habari ni za kweli ? Uliwahoji au umeona na kusikia kisha ukatulia tu ?

Muwe mnatuandikia vitu ambavyi mmevihakiki.

Hayo wanayo yaonyesha yote huwa tunayaona kwenye movies au huweza kutuonyesha kwenye movies zao, kwao kutuaminisha kuwa vya kweli ni jambo la dharura.
 
Inawekana kabisa.hawa hawashindwi kitu
FB_IMG_1613134036883.jpg

Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
 
Sawa msomi wa Tz nchi ambayo hata kutumia choo Ni Shida...!!! Upo vizuri mkuu
Mtoa mada unaweza kuwa na hoja za msingi maana nimeangalia Kile Chombo cha anga wanachotengeneza Boeing kwa kushirikiana na Lockheed Martin kinaitwa orion wamekitengeneza wakakirusha juu sana ya Tabaka la Dunia kupita ISS na satellite zote kikapita van allen radiation belt huku wakiweka sensors za aina mbalimbali kukusanya data.
Hii van Allen radiation belt ina chembechembe zenye chaji za nguvu kubwa zinazotokana na miale ya jua , milipuko ya nyota, Black holes, asteroids nk. Hili eneo ni hatari sana kiumbe hai chochote kikipita Lazima kipikwe kwa hio miale. Kwahiyo wataalamu wa Boeing na Lockheed Martin wanaumiza kichwa teknolojia ya kutengeneza shield ambayo itamlinda binadamu na hii miale.Nasa wamekubali mpaka sasahivi binadamu haijawezekana kumpitisha kwenye hii van Allen’s belt radiation. Safari yoyote ya mwezini,mars nk lazima ipitie van Allen’s belt radiation.
 
Unethibitishaje kama hizo habari ni za kweli ? Uliwahoji au umeona na kusikia kisha ukatulia tu ?

Muwe mnatuandikia vitu ambavyi mmevihakiki.

Hayo wanayo yaonyesha yote huwa tunayaona kwenye movies au huweza kutuonyesha kwenye movies zao, kwao kutuaminisha kuwa vya kweli ni jambo la dharura.
Nimezithibitisha ndio.

Wewe unataka njia gani ya kututhibitishia ?
Tatizo unaimani za ajabu zishaharibu kichwa chako Na conspiracy theories!!

Umesha jiprogramme kukataa kila kitu hausaidiki hata MTU akueleze vipi
 
1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !!

Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote ya kwenda Mwezini Mwaka huo ilibuniwa ili kuulaghai Ulimwengu kwa sababu zifuatazo :

1- Mwezini hakuna Upepo unaovuma kama hapa kwetu,cha ajabu ilionekana Bendera ya Marekani ikipepea juu ya Mwezi tena kwa nguvu kubwa kabisa.

2- Picha zote walizo piga Angani zilikuwa za rangi,wakati ambao Teknolojia haikuwa na Uwezo wa kutoa Picha za rangi huko juu, bali ilitakiwa ziwe za rangi mbili tu, nyeupe na nyeusi.

3- Alama za Viatu vyao zilionekana kuzama sana chini,wakati Mwezini Vitu mfano wa Binadamu lazima vitakuwa vinaelea kwa sababu kitu kinachopima Kilo 60 Ardhini kitakuwa na kilo 10 Mwezi ni, na hii hutokana na Ukweli kuwa Mwezi hauna nguvu kubwa ya Uvutano (Gravitational Force) kama ilivyo Sayari ya Dunia.

4- Hakuna hata Nyota moja ilioonekana kwenye Picha za Wanaanga wakati wapo Mwezini. Ilitakiwa Nyota zionekane kwa sababu Matabaka hewa ya Mwezi (Atmosphere) ni sawa na hakuna. Hivyo, ni rahisi kuziona Nyota juu ya Mwezi.

5- Warusi waliwaomba Wamarekani kuwaelekeza wapi walipotua na kuweka Vyombo vyao vya Anga ili wavipige picha na kupata Ushahidi wa kuwepo na Ziara hiyo Mwezini.Kitu ambacho kilishindikana mpaka hii leo.

6- Waandaaji wa tukio lile hususan Upande wa Kamera,walijisahau na Vivuli vyao vilionekana kwa chini, wakati wakitoa maelekezo ya nini kifanyike.

Ndugu Msomaji,safari hii pamoja na kuwa ya mashaka, ilitangazwa mno na Ulimwengu mzima kuaminishwa kwamba,Wamerekani walitua Mwezini mnamo mwaka wa 1969.Mpaka leo hii Shule zote Ulimwenguni huwafundisha Wanafunzi wao juu ya Ukweli wa tukio hilo lililobuniwa.
Asante mkuu kwa hilo
 
Nimezithibitisha ndio.

Wewe unataka njia gani ya kututhibitishia ?
Tatizo unaimani za ajabu zishaharibu kichwa chako Na conspiracy theories!!

Umesha jiprogramme kukataa kila kitu hausaidiki hata MTU akueleze vipi
Poa.
 
realsam
Nakubaliana na wewe kuwa Wamarekani waliongopa hawakukanyaga mwezini.
Haiwezekani waweze kukanyaga mwezini miaka hiyo, halafu leo baada ya miaka, teknolojia imekua sana, pc ni powerful mara 1000 zaidi, information za kutosha bado wanahaha eti kurudi mwezini.
Ule ni uongo tena uongo haswa.

Ila hoja ya rangi mbona video hazina rangi zile. Na unasemaje video au picha za wakati ule hazikuwa na rangi lakini zamwezini zian rangi. Hapa sijaelewa, kama picha hazikuwa na rangi waliwezaje kutengeneza za mwezini ziwe na rangi kama unavyodai.
 
Hao masheikh wamepata mghafala tu,na wanatakiwa wapewe elimu na wabatilishe kauli zao. Mimi nakumbuka uthibitisho wa kuonyesha hakuna uwezekano wa kiumbe wala kifaa chochote kwenda mwezini ,yaani nje ya anga letu hili (Zones) niliupataka kwenye Qur'an na Hadithi za mtume,nikafunga mjadala wa kuamini sayansi inayojihusisha na mambo ya anga na sayari kwa ujumla yaani SIAMINI,nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilipokuwa nasomeshwa somo la ITIKADI.

Dunia imejawa na uongo na dhuluma katika matendo na kauli,ila Ukweli hautapotea daima dumu.

Nipo .....!
Unaweza kutupa faida mkuu juu ya hizo ithbaat ?
 
1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !!

Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote ya kwenda Mwezini Mwaka huo ilibuniwa ili kuulaghai Ulimwengu kwa sababu zifuatazo :

1- Mwezini hakuna Upepo unaovuma kama hapa kwetu,cha ajabu ilionekana Bendera ya Marekani ikipepea juu ya Mwezi tena kwa nguvu kubwa kabisa.

2- Picha zote walizo piga Angani zilikuwa za rangi,wakati ambao Teknolojia haikuwa na Uwezo wa kutoa Picha za rangi huko juu, bali ilitakiwa ziwe za rangi mbili tu, nyeupe na nyeusi.

3- Alama za Viatu vyao zilionekana kuzama sana chini,wakati Mwezini Vitu mfano wa Binadamu lazima vitakuwa vinaelea kwa sababu kitu kinachopima Kilo 60 Ardhini kitakuwa na kilo 10 Mwezi ni, na hii hutokana na Ukweli kuwa Mwezi hauna nguvu kubwa ya Uvutano (Gravitational Force) kama ilivyo Sayari ya Dunia.

4- Hakuna hata Nyota moja ilioonekana kwenye Picha za Wanaanga wakati wapo Mwezini. Ilitakiwa Nyota zionekane kwa sababu Matabaka hewa ya Mwezi (Atmosphere) ni sawa na hakuna. Hivyo, ni rahisi kuziona Nyota juu ya Mwezi.

5- Warusi waliwaomba Wamarekani kuwaelekeza wapi walipotua na kuweka Vyombo vyao vya Anga ili wavipige picha na kupata Ushahidi wa kuwepo na Ziara hiyo Mwezini.Kitu ambacho kilishindikana mpaka hii leo.

6- Waandaaji wa tukio lile hususan Upande wa Kamera,walijisahau na Vivuli vyao vilionekana kwa chini, wakati wakitoa maelekezo ya nini kifanyike.
Jamani ujinga wa aina hiyo inaweza kusambazwa bila upingamizi?
1. Bendera: kwenye picha inaoyekana vema kwamba kuna fimbo iliyoingizwa ndani ya bendera ili ionekane. Si picha ya kitambaa kinachosukumwa na upepo.
1638370307839.png

2. Alidai hapakuwa na picha za rangi wakati ule. Picha za rangi zimepatikana tangu karne ya 19! yaani miaka 100 kabla ya kutua mwezini.
220px-Tartan_Ribbon.jpg

(The first color photograph made by the three-color method suggested by James Clerk Maxwell in 1855, taken in 1861 by Thomas Sutton. The subject is a colored ribbon)
3. Nyayo za viatu haviko chini sana! Graviti mwezini ni 1/6 ya duniani; maana mtu mzima pamoja na suti yake ni takriban kilogramu 90, hivyo mwezini kama kilogramu 15- Je mtoto wa kilogramu 15 haachi nyayo ndefu alitembea kwenye vumbi laini (jinsi ilivyo uso wa Mwezi)???
4. Hakuna nyota kwenye picha: je umewahi kuelewa kamera? Wako mwezini wakati wa mchana kwenye Jua kali, hivyo Kamera itafunguka kifupi sana. (very short shutter speed). Basi haitoshi kupata nuru hafifu ya nyota.
5. Kuhusu Warusi sina habari; Wahindi walithibitisha kuiona Apollo: In April 2021 the ISRO Chandrayaan-2 orbiter captured an image of the Apollo 11 Lunar Module Eagle descent stage. The orbiter's image of the Apollo landing site was released to the public in a presentation on September 3, 2021. ONA Third-party evidence for Apollo Moon landings - Wikipedia
6. Viwuli: ni kawaida kabisa!
Yote ujinga mtupu. Walitua mwezini, si mara 1 tu, kati ya 1969 hadi 1972.
 
Back
Top Bottom