1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

Bill Kaysing muandishi wa kitabu cha We Never Went to the Moon: America’s Thirty Billion Dollar Swindle alimuajiri mchunguzi binafsi Paul Jacobs kuangalia kutoka kwenye kitengo cha miamba cha Washington na kuuliza kama wamefanyia tafiti jiwe hilo na kama kweli limetoka mwezini. Alichekwa na jiolojist wa kitengo hicho cha Wshington na kuambiwa kuwa wakubwa kwenye serikali ya Marekani wanajua kuwa ni uwongo na wamefunika kombe mwanaharam apite.
 
Mkuu usisubiri mpaka uaminishwe kuna muda lazima uitumie akili yako sio mpaka waanze kukuchambulia
Jiwe wanalo sema wametoka nalo mwezini si chochote bali lilichukuliwa kutoka Antarctica. Mkurugenzi wa NASA, Werner Von Braun, ambaye ni mmoja kati ya wanasayansi wa NAZI walioingizwa Marekani baada ya WWII kupitia mpango wa paper clip, jamaa huyu aliyepaswa kushtakiwa kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uvunjaji wa haki za binaadam lakini alipewa ukuregenzi wa NASA.
Kaka tafadhali jaribu kuhakikisha habari zako kabla ya kujaza nafasi hapa! Werner von Braum kamwe alikuwa mkurugenzi wa NASA! Aliwahi kugundua na kujenga roketi za Ujerumani wakati wa vita kuu ya pili, akapelekwa kama mfungwa Marekani ili kuwaonyesha jinsi ya kujenga roketi, akawekwa huru baadaye na kubaki akaajiriwa na NASA. Kamwe mkurugenzi. Na hakuwahi kufika Antaktiki maishani mwake.

Halafu jaribu kujifunza kuhusu mawe kutoka mwezini. Hapa duniani watu wanakuta mawe ambayo asili yake ni angani. Tunayaita "vimondo nchi" (maana ilhali vimondo vingi -ambayo ni mawe kutoka angani- vinaugua hewani (tunayoona kama kuwaka kwa kimondo), wakati mwingine mabaki huanguka hadi uso wa Dunia. Yanatambuliwa kwa sababu ni tofauti sana kimuundo na kikemia na mawe ya Dunia. Kumbe tangu 1969 wanaanga walileta mawe kutoka mwezini. Utafiti ulionyesha kwamba mifano kadhaa ya vimondo-nchi inalingana na mawe yale kutoka mwezini.
Hivyo siku hizi wataalamu wanaviita "vimondo vya mwezini" (Lunar meteorites). Na mahali pa kukuta vimondo nchi ni ama jangwani au hasahasa kwenye barafu ya Antaktiki.
Soma
In January 1982, John Schutt, leading an expedition in Antarctica for the ANSMET program, found a meteorite that he recognized to be unusual. Shortly thereafter, the meteorite now called Allan Hills 81005 was sent to Washington, DC, where Smithsonian Institution geochemist Brian Mason recognized that the sample was unlike any other known meteorite and resembled some rocks brought back from the Moon by the Apollo program.[2] Several years later, Japanese scientists recognized that they had also collected a lunar meteorite, Yamato 791197, during the 1979 field season in Antarctica. As of July 2019, 371 lunar meteorites have been discovered,[3] perhaps representing more than 30 separate meteorite falls (i.e., many of the stones are "paired" fragments of the same meteoroid).[4] The total mass is more than 190 kilograms (420 lb).[4] All lunar meteorites have been found in deserts; most have been found in Antarctica, northern Africa, and the Sultanate of Oman. None have yet been found in North America, South America, or Europe.
 
Bill Kaysing muandishi wa kitabu cha We Never Went to the Moon: America’s Thirty Billion Dollar Swindle alimuajiri mchunguzi binafsi Paul Jacobs kuangalia kutoka kwenye kitengo cha miamba cha Washington na kuuliza kama wamefanyia tafiti jiwe hilo na kama kweli limetoka mwezini. Alichekwa na jiolojist wa kitengo hicho cha Wshington na kuambiwa kuwa wakubwa kwenye serikali ya Marekani wanajua kuwa ni uwongo na wamefunika kombe mwanaharam apite.
Kaysing alikuwa mwandishi wa takataka. Hakuwa na elimu wa sayansi wala tekinolojia; alikuwa na BA ya English literature, aliandika mengi, na 1976 alitafuta soko jipya kwa kudai "We Never Went to the Moon". 1996 alifungua kesi dhidi ya mwanaanga Jim Lovell (aliyezunguka Mwezi mwaka 1970 kwa Apollo 13) kwa sababu Lovell aliwahi kuandika kuhusu Kaysing yeye ni kichaa ("wacky") kutokana na yale aliyoandika. Kaysing alishindwa kotini, jaji hakuona kosa.

Na wewe umeamua kusambaza takataka hiyo kwa sababu umekuta maneno yake kwenye intaneti, bila kuchungulia na kuhakikisha?? Jamani!
 
Nilimsikia mwana-NASA mmoja akiulizwa why hawajurudi mwezini mpk Leo.... Akajibu kuwa eti wali destroy Ile tech waliporudi so hawajaweza kutengeneza nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849][emoji849][emoji849]. Like seriously????? Eti now the don't have that tech.... Embu waache kamba hawa jamaa.
 
Hujamsikia. Siamini. Lete chanzo! Hawakuenda tena mwezini kwa sababu gharama zilikuwa kubwa, NASA haikutaka kumaliza pesa yake mwezini pekee. Kwa tekinolojia ya siku zile hawakutegemea wangepata elimu mpya. Waliona heri kutumia makisio kwa ugunduzi wa sehemu nyingine za Mfumo wa Jua, kazi waliyofanya. Sasa wanaandaa kurudi mwezini.

Eti wangekosa tekinolojia gani?? Tangu 1972 wamefika umbali mara elfu kadhaa kuliko kilomita hizo 300,000 za kufika Mwezini. Wamepeleka watu mia angani na kuwatunza huku kwa miaka, si siku zile chache za safari za 1969/72.

Kurudia ziara kama 1969 isingekuwa tatizo, lakini hamna faida. Sasa changamoto ni kujenga kituo huko, pia kujenga paoneaanga (kituo cha darubini, astronomical observatory), na kufanya utafiti wa upatikanaji wa madini. Pamoja na kuhakikisha kwanza maji yapo ya kutosha (kama barafu) kabla ya kuanza kituo.
 
16-24/julai/1969 Neil Armstrong,Buzz Adrin, na Mike Collins walisafiri hadi mwezini, hayo mengine kawafundishe washamba wa uko kwenu.
Tukio lilikuwa live mwanzo hadi mwisho(youtube video ipo)

Hoja ya tatu ni dhaifu sana kuliko zote ingawa zote ni dhaifu.

Wenzako mwezini wameenda zaidi ya mara tatu hata hao warusi unaowasema wameenda sana tu.

Wenzako wamejenga space station,na wanatuma vyombo sayari za mbali kuliko hapo mwezini.

Kuhusu bendera kupepea wakati hakuna upepo maelezo yake yapo wazi, NASA walijua kabisa mwezini hakuna upepo hivyo bendera isingepepea hivyo kipindi Adrin anapiga saluti mbele ya bendera alivuta uzi (picha inaonyesha) uliofungwa kwa lengo la kuifanya ipepea ila ukiangalia picha ya mwisho kipindi wanaondoka bendera imesinyaa kabisa.

Kwa watu wanaojua teknolojia ya space shuttling hawawezi kuamini upuuzi wako.

Tembelea NASA na website ya SPACE upate maarifa kijana sio umekaa tu unamshangaa Amber ruty.

Nisamehe kwa reaction yangu huo ndio udhaifu wangu nikikutana na hoja za kipuuzi.
Kwanini hawajarudi tena mwezini mpaka leo
 
Kurudi wamerudi! Ila hawakutuma watu. Wachina walipeleka magari mwezini. Gari moja linazunguka hadi leo, wiki iliyopita tuliona habari zake kwamba lilipiga picha ya kitu cha ajabu kidogo na sasa liko njiani kukikaribia.
Mwaka uliopita kipimaanga "Cheng'e 5" kutoka China kilitua mwezini kikakusanya mawe kadhaa na kurudi nayo duniani.
Hao wanaotunga hadithi za uwongo eti Marekani haikuwahi kufika mwezini wanapaswa kutunga stori je Marekani walifaulu kivipi kupata China kama mshiriki wa uwongo wao??
Maana Mawe ya Mwezi yaliyochukuliwa na China yanalinganishwa sasa na wataalamu kote duniani na mawe yaliyokusanywa na Wamarekani mwaka 1970.. na mawe yaliyochukuliwa na mashine ya Kirusi "LUNA 24" mnamo 1976.

Marekani wanapanga kupeleka tena watu mnmo 2024.

Kweli nipo nje ya dunia

Naomba iyo video mdau ya gari
 
Video utafute mwenyewe, sina uhakika kama ipo, picha ziko tele. Tafuta Cina Moon Mission.
Jambo la pekee la Wachina: gari lao linazunguka kwenye upande wa nyuma ya Mwezi, yaani upande ambao hatuwezi kuona.
 
Hapa ndani y aukuasa filamu fupi inayoonyesha jinsi gani chombo kinachobeb mawe kinarudishwa kutoka Mwezini.
 
Kitu kikubwa kilichoacha watu midomo wazi wala sio kuhusu jinsi gani walivyodeal na van allen belt bali ni ile rocket waliyoitengeneza kwa ajili yakupeleka watu huko mwezini inaitwa SATURN V, yani kama ushawahi kusikia wanasayansi wamepush the boundaries of science to it's absolute limits basi ndio kile walichokifanya kwenye hiyo rocket,the machine was by far ahead of its time na mpaka sasa saturn V bado imeshikilia rekodi kuwa ni the most powerful machine ever built. Wasoviet nao kipindi hicho walihangaika sana kutengeza rocket kama hiyo yakupeleka watu mwezini inaitwa N1 moon rocket ila haikufanikiwa ilkuwa ikiripuka tu kila walipoijaribu kuirusha hadi wakaamua waachane nayo hiyo project,na moja ya sababu kubwa iliyofanya rocket yao ifeli ilikua chief rocket designer Sergey Korolev hakuwa na maelewano mazuri na rocket engine designer Valentin Glushko ikambidi sasa Sergey Korolev atafute design bureau nyengine ambayo itamtengenezea engines zitazomfaa kwenye rocket yake ya N1 ila kwa bahati mbaya hakukuwa na rocket engine design bureau yoyote in Soviet union iliyokuwa experienced kama ya Valentin Glushko kwa hiyo Korolev akatengenezewa engines from other bureau ila performance yake in general haikufaa kwenye N1 rocket zilikuwa zinaexplode tu na kusababisha Soviet moon progaram to be suspended.
Anyway,nimeelezea kwa kifupi sana kuhusu Saturn V rocket kuna miujiza mingi kuhusu hiyo mashine kama utataka kuijua zaidi unaweza ukagoogle

Pichani, The Mighty Saturn V rocket [emoji116][emoji116]View attachment 2041744
images(241).jpg

View attachment 2041747
 
Ni kweli kwamba Warusi (Umoja wa Kisovyeti) walishindwa kumaliza roketi yao N1 iliyopangwa kubeba watu mwezini. Hata hivyo, katika maandalizi walirusha vyombo 4 vilivyozunguka Mwezi . Chombo cha Zond 5 kilibeba kobe 2 waliorudishwa duniani. Hawakuuawa na ukanda wa Van Allen.
 
Umepotosha....
Kwa mujibu wa kitabu cha "Journey to the moon, Apollo 11"

Kinapingana kabisa ya post yako kwa 100%.

•Kwanza,kina sema bendera waliyoiweka kule mwezini imetengenezwa kwa waya-matcha kwa kuwa kule hakuna upepo hivyo ili iwe imenyooka lazima kuweka waya-match.

•Picha zilizooneshwa ni black and white,hakuna hata moja ambayo ina rangi.

•Baadhi ya picha zilizopigwa na ile command module zinaonesha nyota nyingi tuuu....
 
Kaka sielewi hasira yako na kwa nini unakataa kutafuta habari zinazopatikana kote
1. Bendera sijui "waya-matcha" ni lugha gani ila soma: "The Lunar Flag Assembly (LFA) was a kit containing a flag of the United States designed to be erected on the Moon during the Apollo program. Six such flag assemblies were planted on the Moon. The nylon flags were hung on telescoping staffs and horizontal bars constructed of one-inch anodized aluminum tubes" (Chanzo na ushuuda: Lunar Flag Assembly - Wikipedia)

2. Mimi naona rangi. Wewe je?
1639486015839.png

halafu chungulia hapa. rangi tele. Google search Moon Landing Pictures

3. Kama nyota zinaonekana, hakuna anayekataa. Nimeeleza tu kwenye picha nyingu hakuna nyota kwa sababu mwanga wa mchana huko ni mkali, inategemea na mwelekeo na setting ya kamera kama inafunguka muda mfupi sana (bila kushika nyota) au kwa muda mrefu zaidi.

1639485902468.png
 
Back
Top Bottom