1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

1969 mwanadamu hakuweza kutua mwezini!

Mwaka 1958 mwana fizikia James Van Allen aligundua energetic particles ambazo zipo kama rings hivi katika sayari yetu hii ya Dunia. Ni mionzi(radiation) yenye ukanda(belt) ya aina mbili zimeizunguka Dunia. Hiyo mionzi(radiation) kwa tabaka lake la nje imeundwa kwa billions of high energy ambazo zimejizalisha kutoka kwenye Jua ambazo zinanasia au zinagandia katika earth's magnetic field, katika pahala panapojulikana kama magnetosphere.

Eneo la ndani la hii mionzi kwenye huo ukanda ni matokeo ya mwingiliano wa cosmic rays katika earth's atmosphere, na cosmic rays ni atom fragments ambazo zinanyeshelezea katika sayari ya Dunia from outside ya solar system yetu.

Kwa uvumbuzi huo hiyo mionzi ikapewa jina la mwanafizikia aliyeigundua. Ikaitwa Van Allen belt Radiation.

Habari kutoka NASA ni kwamba, satellite itakayoingia imma kwa kukusudia au kwa bahati mbaya ikakosea njia katika Van Belt Radiation uwezokano wa kuharibika ni kwamba hiyo satellite itaharibika kwa mionzi hiyo, na italeta athari hasi kwa astronauts vilevile. Mwaka 2012, NASA walituma twin Van Allen Probes Instruments ili kufanya uchunguzi zaidi kuhusu Van belt radiation. Walichogundua ni kwamba ni impenetrable barrier in space, na ipo umbali wa Km 600 kutoka earth's surface. David Sibeck kutoka NASA Goddard Space Center anasema kwamba: Teknolojia yetu tuliyonayo sasa hivi bado si rafiki wa kuweza kupita kwenye hiyo mionzi , kwa sababu kuguswa kidogo tu kwa chombo kitakachopita kwenye hiyo mionzi hata kwa mara moja, ina uwezo wa kuleta athari ya moja kwa moja kwa chombo na astronauts.

Ila tufahamu ya kwamba astronauts waliyopo ISIS hawa hawagusi hiyo belt, huwa wanaelea nyuma ya belt. Kwa maana hata kuinusa hawainusi, wapo nayo mbali kwa sababu hiyo mionzi haicheki na mtu.

Mwishoni David Sibeck anasema, kwa kufanya uchunguzi na kuendelea kujifunza kuhusu Van belt radiation, anasema: At earth, we can study these details and apply that knowledge both to our journey to Mars and...kwenye mwezi....na hii ni kauli ya 2018. Kwa sababu 2020 van Allen probes instruments inatarajiwa kumaliza mission yake kwa sababu ina running low in fuel.

Kwa hiyo, hapa ni masuala ya kumkichwa tu, kama una amini teknolojia inaenda mbele na kurudi nyuma kwamba WALIENDA MWEZINI HAYA.
Its true kutokana na van allen belt inaprove safari ya marekani kwenda moon was a hoax...angalau msouth afrika mwenzetu allen musk juzi amepeleka big fucking rocket hadi hapo so hopeful atatoboa
Why did the Tesla Roadster spend time in the Van Allen belt?

Ask Question

up vote37down votefavorite

1

Following the Falcon Heavy launch, the second stage + Roadster payload spent a number of hours 'drifting' through the Van Allen belt before performing the burn to put it into its current orbit.

Elon Musk via Twitter:

Upper stage restart nominal, apogee raised to 7000 km. Will spend 5 hours getting zapped in Van Allen belts & then attempt final burn for Mars.

Given that spending time there exposed the spacecraft to more radiation than it would receive had it performed its escape burn prior to passing through the belt, and this radiation was a source of potential risk that could have rendered the craft inoperable, what was the reason for this slow traversal?

It has been mentioned elsewhere that this was to show that it could be done to satisfy the DoD (e.g. this comment) but why would they want to put a spacecraft through extended exposure to the additional radiation encountered in the belts?

launch falcon-heavy tesla-roadster upper-stage van-allen-belt
 
Hapa naona kuna mabishano kati ya mashabiki wa Trump na Puttin...wa Trump hata kama hii issue sio ya kweli watalazimisha iwe ya kweli 🤣🤣🤣
 
Yaan hizo hesabu za pysics form two ndio umevimba kichwa na wewe unajiona mwana sayansi mpk una ita NASA maboya? umekaa una solve sijui g= m*a unajiona msomiii?
😂😂😂 jf raha sana.
 
16-24/julai/1969 Neil Armstrong,Buzz Adrin, na Mike Collins walisafiri hadi mwezini, hayo mengine kawafundishe washamba wa uko kwenu. Tukio lilikuwa live mwanzo hadi mwisho(youtube video ipo).Hoja ya tatu ni dhaifu sana kuliko zote ingawa zote ni dhaifu.
Wenzako mwezini wameenda zaidi ya mara tatu hata hao warusi unaowasema wameenda sana tu. Wenzako wamejenga space station,na wanatuma vyombo sayari za mbali kuliko hapo mwezini. Kuhusu bendera kupepea wakati hakuna upepo maelezo yake yapo wazi,NASA walijua kabisa mwezini hakuna upepo hivyo bendera isingepepea hivyo kipindi Adrin anapiga saluti mbele ya
bendera alivuta uzi (picha inaonyesha) uliofungwa kwa lengo la kuifanya ipepea ila ukiangalia picha ya mwisho kipindi wanaondoka bendera imesinyaa kabisa. Kwa watu wanaojua teknolojia ya space shuttling hawawezi kuamini upuuzi wako. Tembelea NASA na website ya SPACE upate maarifa kijana sio umekaa tu unamshangaa Amber ruty. Nisamehe kwa reaction yangu huo ndio udhaifu wangu nikikutana na hoja za kipuuzi.

Umeni pre-empty maana nilikuwa nataka kutoa maelezo kama haya. Ukweli mtoa mada anasumbuliwa na ushabiki wa Russia tu maama hana hoja yoyote ya msingi ni ushabiki tu.
 
tatizo wanaketa u team Kiba na team Diamond mpka kwenye science
 
Watu hamuelewi tu, viwango vya radiation vinaweza vikapungua kulingana na uimara wa chombo unachosafiria. Kwenye hiyo Allen Radiation Belt, mbona vyombo vinapita tu bila tatizo.?

Vyombo husika huweza kudhibiti viwango vya mionzi hadi kufikia 0.16-0.14 rads (1.6 and 11.4 mGy) ambayo haina madhara kwa mwanadamu anayefanya kwenye mazingira ya Radioactivity kwa mujibu wa United States Atomic Energy Commission.

Kwa hali hiyo ndio maana chombo cha Apollo 11 kikiwa na akina Neil Armstrong na Buzz Aldrin ndani kilipenya hadi kwenda kutua kwenye uso wa mwezi hiyo July 24, 1969 huku Michael Collins akiwa amebaki kwenye Lunar Orbit.

Anayepinga hili apinge tu out of his lunatic obstinacy although that will never change the landmark reality that the Astronauts Neil Armstrong and his fellows did set their feet on the moon.

NB: Tomaso wengine bado pia wanaamini eti Osama bado yuko hai....!!!!
 
Ilaaa buana kutoka njeee ya Dunia nii shidaa Sana'a . EMB nikuulize nimeona baadh ya mashekh wanasema wanasayans wamethibitisha kuwepo kwa cracks ambayo inasadikika ni tukio la kupasuka kwa mwezi enzi za nabii mohad rehma na amani ziwe juu yake.

Hao masheikh wamepata mghafala tu,na wanatakiwa wapewe elimu na wabatilishe kauli zao. Mimi nakumbuka uthibitisho wa kuonyesha hakuna uwezekano wa kiumbe wala kifaa chochote kwenda mwezini ,yaani nje ya anga letu hili (Zones) niliupataka kwenye Qur'an na Hadithi za mtume,nikafunga mjadala wa kuamini sayansi inayojihusisha na mambo ya anga na sayari kwa ujumla yaani SIAMINI,nakumbuka ilikuwa mwaka 2012 nilipokuwa nasomeshwa somo la ITIKADI.

Dunia imejawa na uongo na dhuluma katika matendo na kauli,ila Ukweli hautapotea daima dumu.

Nipo .....!
 
Uko Tandale kwa Tumbo umetoka kula miguu ya kuku na vichwa hadi umevimbiwa hata drone ya kushoot video hujawahi rusha unakuja kuandika hapa Marekani hajawahi kanyaga mwezini. Useless post.

Kaka usipate tabu,wewe leta hoja kuthibitisha kama walienda mwezini. Au batilisha hayo aloyoyasema mtoa mada kwa hoja.
 
Miongoni mwa matatizo ya Sayansi ni kuweka hitimisho la ujumla. Tatizo hizi linawaliza mpaka kiama kitakapo simama.

Hapa wanajitutumua tu kwa mbwe mbwe ya mapicha picha na mavideo ya animation iliyo tukuka na kusema ooh,miale miale,wana sahau au kujisahaulisha ya kuwa "Uwepo wa jambo hautengani na Chanzo".
 
Marekani walidanganya ulimwenguni kwa sababu za kisiasa juzi tu hapo NASA wenyewe wamekiri kuwa bado mpaka leo hii hawana uwezo wa kupenya kwenye ukanda wa joto kali uitwao VAN ALLEN BELT
 
1969 MWANADAMU HAkUWEZA KUTUA MWEZINI !!

Wamarekani walijitahidi sana kuudanganya Ulimwengu Mwaka 1969 kwa malengo yao binafsi kisiasa na kiuchumi, lakini Ukweli utabaki kuitwa Ukweli. Picha yote ya kwenda Mwezini Mwaka huo ilibuniwa ili kuulaghai Ulimwengu kwa sababu zifuatazo :

1- Mwezini hakuna Upepo unaovuma kama hapa kwetu,cha ajabu ilionekana Bendera ya Marekani ikipepea juu ya Mwezi tena kwa nguvu kubwa kabisa.

2- Picha zote walizo piga Angani zilikuwa za rangi,wakati ambao Teknolojia haikuwa na Uwezo wa kutoa Picha za rangi huko juu, bali ilitakiwa ziwe za rangi mbili tu, nyeupe na nyeusi.

3- Alama za Viatu vyao zilionekana kuzama sana chini,wakati Mwezini Vitu mfano wa Binadamu lazima vitakuwa vinaelea kwa sababu kitu kinachopima Kilo 60 Ardhini kitakuwa na kilo 10 Mwezi ni, na hii hutokana na Ukweli kuwa Mwezi hauna nguvu kubwa ya Uvutano (Gravitational Force) kama ilivyo Sayari ya Dunia.

4- Hakuna hata Nyota moja ilioonekana kwenye Picha za Wanaanga wakati wapo Mwezini. Ilitakiwa Nyota zionekane kwa sababu Matabaka hewa ya Mwezi (Atmosphere) ni sawa na hakuna. Hivyo, ni rahisi kuziona Nyota juu ya Mwezi.

5- Warusi waliwaomba Wamarekani kuwaelekeza wapi walipotua na kuweka Vyombo vyao vya Anga ili wavipige picha na kupata Ushahidi wa kuwepo na Ziara hiyo Mwezini.Kitu ambacho kilishindikana mpaka hii leo.

6- Waandaaji wa tukio lile hususan Upande wa Kamera,walijisahau na Vivuli vyao vilionekana kwa chini, wakati wakitoa maelekezo ya nini kifanyike.

Ndugu Msomaji,safari hii pamoja na kuwa ya mashaka, ilitangazwa mno na Ulimwengu mzima kuaminishwa kwamba,Wamerekani walitua Mwezini mnamo mwaka wa 1969.Mpaka leo hii Shule zote Ulimwenguni huwafundisha Wanafunzi wao juu ya Ukweli wa tukio hilo lililobuniwa.
Sikubaliani na wewe, hao warusi ni nani hadi waombe ushahidi wa picha kutoka kwa wamarekani?
Warusi walitoa ushahidi kwa nani?
Kama wamarekani waliweza kuunda chombo cha kwenda mwezini kwanini washindwe kufika na wakati chombo hicho kilionekana Duniani kote kikianza safari ya kwenda mwezini,tuambie sasa kilitua wapi au kiligeuzia njiani na kurudi Duniani?
Topic yako imejaa nadharia ya chuki dhidi ya US,na umeweka point dhaifu mno.
 
16-24/julai/1969 Neil Armstrong,Buzz Adrin, na Mike Collins walisafiri hadi mwezini, hayo mengine kawafundishe washamba wa uko kwenu.
Tukio lilikuwa live mwanzo hadi mwisho(youtube video ipo)
Hoja ya tatu ni dhaifu sana kuliko zote ingawa zote ni dhaifu.
Wenzako mwezini wameenda zaidi ya mara tatu hata hao warusi unaowasema wameenda sana tu.
Wenzako wamejenga space station,na wanatuma vyombo sayari za mbali kuliko hapo mwezini.
Kuhusu bendera kupepea wakati hakuna upepo maelezo yake yapo wazi,NASA walijua kabisa mwezini hakuna upepo hivyo bendera isingepepea hivyo kipindi Adrin anapiga saluti mbele ya
bendera alivuta uzi (picha inaonyesha) uliofungwa kwa lengo la kuifanya ipepea ila ukiangalia picha ya mwisho kipindi wanaondoka bendera imesinyaa kabisa.
Kwa watu wanaojua teknolojia ya space shuttling hawawezi kuamini upuuzi wako.
Tembelea NASA na website ya SPACE upate maarifa kijana sio umekaa tu unamshangaa Amber ruty.
Nisamehe kwa reaction yangu huo ndio udhaifu wangu nikikutana na hoja za kipuuzi.
Hahahahah..na mimi kanikera sana huyu jamaa ametoka kudanganywa msikitini
 
Safi sana [emoji106][emoji106][emoji106][emoji108][emoji108][emoji108]
 
Sikubaliani na wewe, hao warusi ni nani hadi waombe ushahidi wa picha kutoka kwa wamarekani?
Warusi walitoa ushahidi kwa nani?
Kama wamarekani waliweza kuunda chombo cha kwenda mwezini kwanini washindwe kufika na wakati chombo hicho kilionekana Duniani kote kikianza safari ya kwenda mwezini,tuambie sasa kilitua wapi au kiligeuzia njiani na kurudi Duniani?
Topic yako imejaa nadharia ya chuki dhidi ya US,na umeweka point dhaifu mno.
Wewe unabishana na NASA
 
Back
Top Bottom